Mtundu wa Tech
JF-Expert Member
- Aug 19, 2019
- 642
- 606
Habari wa JF!!
Kila nikipitia makala mbali mbali huwa nakutana sana na maneno haya "Uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha".
Naulizia haya maneno yanamaana gani na yanatumika kwa kitendo gani kibaya katika jamii yetu?
Maana neno utakatishaji fedha yaani money laundering hili naona kama linaeleza kuzisafisha zile fedha badala ya kutumia vibaya. Sasa wengi wetu tukikosea kidogo na tukikamatwa na vyombo vya usalama huwa hatukawii kuambiwa kuwa tumetakatisha fedha au tumehujumu uchumi.
Sasa mimi nataka kufahamu maana ya hayo maneno mawili na mifano yake, isije nami nikakamatwa kisha nikaambiwa hivyo wakati sijui chochote kuhusu uhujumu uchumi au utakatishaji fedha.
Nitoeni matongotongo wanaJF ili nielewe maana ya haya maneno.
Sent using Jamii Forums mobile app