Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,210
- 40,183
Vipi matumizi ya neno shemela?Ila we jamaa sijui umewaza nini๐
But mimi hua naona tu neno Shem limekaa kimchongo mchongo
Kama ni shemeji basi iwe shemeji
Sijui mkuu labda nikuitie secretarybird huyu anafanya kazi bakitaVipi matumizi ya neno shemela?
Kwanza mimi kumwita mtu shemeji napata ugumu sana. Kuna shemeji yangu huwa namwita tu brooIla we jamaa sijui umewaza nini๐
But mimi hua naona tu neno Shem limekaa kimchongo mchongo
Kama ni shemeji basi iwe shemeji
Ni kaka tu basi..kumuita mtu shemeji imekaa kinyonge sanaKwanza mimi kumwita mtu shemeji napata ugumu sana. Kuna shemeji yangu huwa namwita tu broo
Majina wanayoitana machoko na mashoga zao.Wengine sijui ndio umri au vipi, hizi lugha za mtaani zinaanza kutupita sasa.
Rafiki wa girlfriend au mkeo akikuita shem darling anamaanisha nini.
Hii shem darling ni jina, utani au code?
Bora hiyo bro kwakweli hiyo shemeji yenyewe imekaa kisukuma( jokes)Kwanza mimi kumwita mtu shemeji napata ugumu sana. Kuna shemeji yangu huwa namwita tu broo
kwanini bro? is he your bro? oooh c'mon ma niggah ๐Kwanza mimi kumwita mtu shemeji napata ugumu sana. Kuna shemeji yangu huwa namwita tu broo
Mapenzi upofu ๐ ๐huyo ajui labda The Icebreaker
Nafikir kwa mara ya kwanza tangu nimeoa mwaka huu ndiyo nimemuita mtu hilo jina la Shem. Sijawahi kulielewa.Ila we jamaa sijui umewaza nini๐
But mimi hua naona tu neno Shem limekaa kimchongo mchongo
Kama ni shemeji basi iwe shemeji
Mambo ya wasukuma yanaingiaje hapo tena?Bora hiyo bro kwakweli hiyo shemeji yenyewe imekaa kisukuma( jokes)
Nilipolelewa mimi hua tunaitana kwa jina husika kama unaitwa Ally kama ni shemeji yangu nitakuita kwa jina lako hilo
sikuhizi vipofu wanaona๐Mapenzi upofu ๐ ๐