Nini maana ya "Sex Transmutation" kwa mujibu wa Napoleon Hill?

Dec 27, 2015
15
5
Habari zenu wajuzi wa mambo,

Ni mgeni kwenye JamiiForums. Nilivutiwa kujiunga kwani nilikuwa nautembelea sana huu mtandao, kwani una mambo mengi mazuri.

Nilikuwa nauliza kama kuna mtu anajua chochote kuhusu Sex Transmutation, kwani nimesoma kwenye kitabu cha Napoleon Hill cha Think and Grow Rich ila sijaelewa hiyo part ya Sex Transmutation..
 
Ngoja mimi nikagoogle halafu nije kulinganisha majibu... :laugh:
 
"Sex transmutation is simply the switching of the mind from thoughts of physical expression, to thoughts of some other nature".
 
Back
Top Bottom