Siajwahi kuwa mdau sana wa hili jukwaa ila naanza kuona umuhimu wa kuanza kulitumia, maana kuna maneno mengi ya lugha ya kiswahili huwa yananipiga chenga kumbe ningeweza kupata msaada humu, nini maana ya hili neno, na kwanini huwa maranyingi linatumiwa likiambatana na neno Meya?
mstahiki-mstahili,mhusika wa cheo...au haki yeyote!Siajwahi kuwa mdau sana wa hili jukwaa ila naanza kuona umuhimu wa kuanza kulitumia, maana kuna maneno mengi ya lugha ya kiswahili huwa yananipiga chenga kumbe ningeweza kupata msaada humu, nini maana ya hili neno, na kwanini huwa maranyingi linatumiwa likiambatana na neno Meya?
Makamu - wa chini yaMakamu, naibu, mstahiki na kaimu?