Nini maana ya neno Mstahiki?

Nini maana ya neno Mstahiki?

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,902
Reaction score
15,928
Siajwahi kuwa mdau sana wa hili jukwaa ila naanza kuona umuhimu wa kuanza kulitumia, maana kuna maneno mengi ya lugha ya kiswahili huwa yananipiga chenga kumbe ningeweza kupata msaada humu, nini maana ya hili neno, na kwanini huwa maranyingi linatumiwa likiambatana na neno Meya?
 
MSTAHIKI~mtu mwenye haki ya kitu /jambo fulan (kamasijakosea)
 
Siajwahi kuwa mdau sana wa hili jukwaa ila naanza kuona umuhimu wa kuanza kulitumia, maana kuna maneno mengi ya lugha ya kiswahili huwa yananipiga chenga kumbe ningeweza kupata msaada humu, nini maana ya hili neno, na kwanini huwa maranyingi linatumiwa likiambatana na neno Meya?

Mtukufu
 
mstahiki-mstahili,mhusika wa cheo...au haki yeyote!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom