Nini maana ya neno Mheshimiwa, kwa utendaji na weledi wa viongozi na baadhi ya Wabunge wa Tanzania hasa awamu hii, wanastahili kuitwa Waheshimiwa?

nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,946
2,929
Wanajamvi nawasalimu.

Husikeni na utangulizi wa bandiko langu lenye maswali mawili.

Wengi mtakubaliana nami kuwa ni maeneo mengi neno mheshima linatumika sana hasa kwa viongozi, serikani au katika siasa ngazi zote.
Utasikia mheshimiwa mwenyekiti wa mtaa.
Mheshimiwa balozi
Mheshimiwa diwani
Mheshimiwa
Mh mbunge nk.

Nikiangalia weledi na utendaji wa hawa wanaoitwa waheshimiwa natatanika Sana na maana ya neno mheshimiwa,waheshimiwa.

NDIPO NIMEKUJA NA MASWALI HAYA MAWILI HAPO JUU.
NAOMBA MSAADA.

Wote nawatambua lakini kwa kipekee niwatambue
Mshana Jr,
@P. Mayalla
@wakudadavua
Mzee Mwanakijiji
FaizaFoxy
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@ mshana jr,
@ P. Mayalla
@ wakudadavua
@ mzee mwanakijiji
@ faizafoxy
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uheshimiwa sio cheo bali ni hadhi na inatokana na kuheshimiwa na jamii kutokana na michango chanya kwenye nyanja zinazogusa maisha ya jamii moja kwa moja
Uheshimiwa wa kisiasa ni bandia na namna ya kumpa mtu hadhi asiyostahili

Jr
 
Wanajamvi nawasalimu.

Husikeni na utangulizi wa bandiko langu lenye maswali mawili.

Wengi mtakubaliana nami kuwa ni maeneo mengi neno mheshima linatumika sana hasa kwa viongozi, serikani au katika siasa ngazi zote.
Utasikia mheshimiwa mwenyekiti wa mtaa.
Mheshimiwa balozi
Mheshimiwa diwani
Mheshimiwa
Mh mbunge nk.

Nikiangalia weledi na utendaji wa hawa wanaoitwa waheshimiwa natatanika Sana na maana ya neno mheshimiwa,waheshimiwa.

NDIPO NIMEKUJA NA MASWALI HAYA MAWILI HAPO JUU.
NAOMBA MSAADA.

Wote nawatambua lakini kwa kipekee niwatambue
Mshana Jr,
@P. Mayalla
@wakudadavua
Mzee Mwanakijiji
FaizaFoxy
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uheshimiwa ni cheo baada ya kufikia hiyo hadhi haiangalii unachapa kazi au unapiga chenga. Ni kama mtu kuitwa mwanaume haianglii unauwezo wa kutia mimba au hauna lkn ukisha kuwa mwanaume utaitwa mwanaume tu.
 
Back
Top Bottom