Nini maana ya neno Kuntu?

Nini maana ya neno Kuntu?

kuntu maana yake kuntu kama unabisha google uone
 
wengi mmepatia,neno hili alipenda kulitumia mwl wangu wa kiswahili wa chuo cha ualimu hasa anapojibu swali.
 
KUNTU ni neno la kiarabu lenye maana wakati uliopita.(mfano:KUNTU mina suuk-nilikuwa sokoni)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom