Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 569
- 884
Kuota unakimbia ni dalili kuna roho ya umauti inakufuatilia,,,,fanya ibada toa swadakaNimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa ,lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lkn akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale,basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita nje baada ya kunifungulia nikaanza kukimbia lkn ile natoka nje nakutana na giza sana nje kiasi kwamba sioni njia lkn wakati nakimbia hivyohivyo ghfula nikaona mtu mbele yangu akingaa sana kama taa akiwa anakimbia mbele yangu kwahyo nikawa naona njia vzr huku nakimbia ,tumekimbia sana nikimfata mtu yule hadi kulipopambazuka ndipo akanionesha njia ya kupita na nikamshukuru na hapohapo usingizi akaisha nikazinduka
Jf naomba muongeze meme ile ya kidole cha kati maana kuna watu wanauzi sana
Anatakiwa aote anatembea sio?Kuota unakimbia ni dalili kuna roho ya umauti inakufuatilia,,,,fanya ibada toa swadaka
Tafsiri ya haraka usiwe muongo saana sehemu yako ya Kazi hasa.Nimeota niko ndani ya nyumba nimefungiwa siwezi kutoka yani kifupi nimetekwa lakni nilikuwa natafuta kila siku njia ya kutoroka nakosa lakini akaja mgeni ndani kumbe hajui kama nimetekwa pale
Basi nikamuomba anifungulie mlango nilisingizia kuna mtu ananiita nje baada ya kunifungulia nikaanza kukimbia lkn ile natoka nje nakutana na giza sana nje kiasi kwamba sioni njia lkn wakati nakimbia hivyohivyo ghafla
Nikaona mtu mbele yangu akingaa sana kama taa akiwa anakimbia mbele yangu kwahyo nikawa naona njia vzr huku nakimbia ,tumekimbia sana nikimfata mtu yule hadi kulipopambazuka ndipo akanionesha njia ya kupita na nikamshukuru na hapohapo usingizi akaisha nikazinduka
Mkuu kukimbia na uongo mbona vitΓΉ 2 tofautiTafsiri ya haraka usiwe muongo saana sehemu yako ya Kazi hasa.
Utakutana na watu tofauti nyakati tofauti usiwaeleze kuhusu Maisha yako ila wewe angalia mambo Yao Tu Wala usitangaze yaani usiwe mbeya kwenye mambo ya watu.
Kuona njia utapata akili ya kuanzisha Jambo jipya kupitia watu lakini litachukuwa Muda hadi kulifanikisha.
Roho Ya Mauti Ipo Tu...Haijalishi Unatoa Sadaka Na Kufanya Ibada Au La.....Kuota unakimbia ni dalili kuna roho ya umauti inakufuatilia,,,,fanya ibada toa swadaka
Heh πpole sana,, nyota yako imeibiwa nichek pm nikupige kibunda
na wew umebadili user name kimya kimya? hiyo avatar nikajua pacha wako bwanaπ π π π uwe unatoa taarifaHeh π
Niltaka kukupa taarifa darlingna wew umebadili user name kimya kimya? hiyo avatar nikajua pacha wako bwanaπ π π π uwe unatoa taarifa
oukyyy alf kwanini jana umenipa kisukari?Niltaka kukupa taarifa darling
Sema umeniwahi babe π
Sorry π sweetheart nilikua na long call π nikashindwa kuingia online alooooooukyyy alf kwanini jana umenipa kisukari?
Hivi unajua maana ya long call?π±Sorry π sweetheart nilikua na long call π nikashindwa kuingia online alooooo
nakuangalia kwa ukaribu sanaaπ,, we jishaue tuπ π π π ,, πΆπΆ usicho kipenda wew, chunga na mie usinifanyieπΆπΆSorry π sweetheart nilikua na long call π nikashindwa kuingia online alooooo
Sijui hataHivi unajua maana ya long call?π±
πππ InfropreneurKuota unakimbia ni dalili kuna roho ya umauti inakufuatilia,,,,fanya ibada toa swadaka