Nyota yangu
Senior Member
- Feb 22, 2026
- 152
- 331
Ana madhara mengine labda kiuchumi au kimahusiano? Nini lengo lake hasa kwangu? Ametumwa na nani?Jini mahaba anaitwa, spiritual husband/wife anasumbuaga sana.. anakuletea sura mpaka za ndugu na marafiki zako!
Ndio ana madhara makubwa tu, ana wivu hapendi kushea ataharibu mahusiano yako au atakufanya usipende kushiriki na mwenzio! Nahisi ni kutokujilinda tu kiroho sio lazima atumwe na mtu!Ana madhara mengine labda kiuchumi au kimahusiano? Nini lengo lake hasa kwangu? Ametumwa na nani?
Inanipa wasiwasi sana mkuuHakuna chochote hapo ila ukienda kwa waganga ama makanisani utaombwa hela ya sadaka bure,potezea na hali itaisha mkuu!
Utasemaje hakuna chochote wakati anaota au utasema ndoto hazina maana?Hakuna chochote hapo ila ukienda kwa waganga ama makanisani utaombwa hela ya sadaka bure,potezea na hali itaisha mkuu!
Mkuu mimi siwazi mapenzi muda wote, labda huyo jini maana sina elimu kuhusu majini na ndiyo maana nimekuja huku nisaidiwe kupata sababu hasa ya tatizo hiliUkisema tu kijumla unaota ndoto za kufanya mapenzi, kwa haraka mtu atachukulia kuwa hayo ndio mambo yaliyo akilini mwako kwa sana ndio maana hadi unayaota au ndio ionekane ni issue ya jini mahaba.
Wewe unaona ni kitu gani? Naona una laumu tu bila kutoa suluhishoUkisema tu kijumla unaota ndoto za kufanya mapenzi, kwa haraka mtu atachukulia kuwa hayo ndio mambo yaliyo akilini mwako kwa sana ndio maana hadi unayaota au ndio ionekane ni issue ya jini mahaba.
Sio jini Wala nini ni mawazo Tu ya kugonga unayalimbikiza kutwa mzima.Wakuu
Nina swali naomba msaada wa tafsiri
Inanitokea naota nafanya mapenzi na watu tofauti ninaowafahamu na nisiowafahamu
Kinachonishangaza ni kuwa ninashiriki tendo la ndoa mara kwa mara hivyo siyo kwamba nina upwiru(hali ya Kutoshiriki tendo la ndoa mara kwa mara), hapana. Hata leo usiku jana nimeshiriki tendo la ndoa cha ajabu usingizini nikaota tena nashiriki na mtu mwingine.
Hii ni nini?
Sijalaumu bali nimechangia kwa kueleza kwamba mtu akisema kiujumla tu kuwa anaota ndoto za mapenzi bila kueleza zaidi kuhusu hizo ndoto basi majibu ya haraka ndio yanaweza kuwa ni hayo ya kwamba pengine muotaji anawaza sana mambo ya ngono au ni ndoto za kuashiria jini mahaba.Wewe unaona ni kitu gani? Naona una laumu tu bila kutoa suluhisho
Uhakika ni upi?Sijalaumu bali nimechangia kwa kueleza kwamba mtu akisema kiujumla tu kuwa anaota ndoto za mapenzi bila kueleza zaidi kuhusu hizo ndoto basi majibu ya haraka ndio yanaweza kuwa ni hayo ya kwamba pengine muotaji anawaza sana mambo ya ngono au ni ndoto za kuashiria jini mahaba.
Huyu jini mahaba mbona anabagua sana wengine saturation uponyaji wakeJini mahaba anaitwa, spiritual husband/wife anasumbuaga sana.. anakuletea sura mpaka za ndugu na marafiki zako!
Anabagua niniHuyu jini mahaba mbona anabagua sana wengine saturation uponyaji wake
Wanapenda kumuona kila mtu mwendawazimu hawa!Utasemaje hakuna chochote wakati anaota au utasema ndoto hazina maana?
Wana nzengoAnabagua nini
Hujaingia kwenye 18 zao, huenda huwavutii😁Wana nzengo