Nini maana ya msaada??

Nini maana ya msaada??

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,118
Reaction score
72,600
Nachoelewa mfano unamsaidia binti kumsomesha ila huhitaji chochote kwake au shukran yoyote huo ndio msaada.

Ila unamlala mwanamke huku unasema unamsaidia ni aina gani ya msaada, ninavyoelewa msaada unatoa bila kutegemea chochote pande ingine.

Anaeweza chambua anisaidie
 
Kwmb mtu akikulala inakua umemlipa ama vip,kuchachuana ni jambo la kijamii tu haliondoi maana ya msaada
 
Nachoelewa mfano unamsaidia binti kumsomesha ila huhitaji chochote kwake au shukran yoyote huo ndio msaada.

Ila unamlala mwanamke huku unasema unamsaidia ni aina gani ya msaada, ninavyoelewa msaada unatoa bila kutegemea chochote pande ingine.

Anaeweza chambua anisaidie
Kwahiyo akilalwa anaona kalipa?
 
Msaada sio lazima uwe ni bure.
Hata msaada pia unaweza kuambata pamoja na masharti na vigezo.
 
Back
Top Bottom