Msaidizi Mkuu
Senior Member
- Aug 19, 2020
- 195
- 154
Mtoa mada anafahamu ni buza, sema inamaanisha niniBuza kwa Mpalange maeneo maarufu hayo
Sio kila mtu anajua unachojua...funguka jamaa gan na kafanya ninSi kwa yule jamaa
mbona imekuwa msemo wasichana wengi hutumia na kusema natoa kwa mpalange au ukitaka kwa mpalange unapata hapo nashindwaga kuelewa kabisa kwamba wanakupa umiliki wa mtaa wa mpalange auBuza kwa Mpalange maeneo maarufu hayo
sawa mkuu ngoja waje wataalamuKelele kwa kwio yake weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Wakikujibu nitag
yupo huyo mkuuSi kwa yule jamaa
Basi tupo tofauti maana ni msemo unaovuma kwa kasi mpaka najiuliza maana yake niniMm naishi mbagala kilungule na ndio njia Yangu kila siku asbh napoenda kutafuta riziki kituo changu cha daladala n kwa mpalange lakini sijawah sikia maana tofauti ya eneo tajwa
Kweli mkuu inabidi afungukeSio kila mtu anajua unachojua...funguka jamaa gan na kafanya nin
Mbona wanawake wanasema natoa kwa mpalange au ukitaka kwa mpalange unapewa kwahiyo hapi nashikwa na ukakasi kidogoBarabara ya vumbi
Tatizo linakuja kwann wanawake na baadhi ya wanaume huutumia huu msemo kwamba nataka kwa Mpalange au nagawa kwa Mpalange hasa hawa dada zetu wakisena hivo so nashindwa kuelewa maana yao halisi ni ipi.Ni Sehemu fulani Buza kuna Tope sana
Mwambie demu wako akupeleke hakika utataka kila siku uende huko
Hebu tufafanulie vizuri mkuu kidogo umeandika kwa ufupi labda tukapata maana ya wanachokimaanisha watumiaji wa neno hiloKwa mpalange ni matakoni.
Any question?
Huku Tandika kuelekea buza kuna sehemu maarufu sana zaidi ya kwa mparange. Panaitwa mnduku buku. Hapo noma, kwa mparange cha mtoto