Kuna njia ya kuhack password inaitwa Brute force, njia hii inakuwa ina guess password inajaribu kila namba na password maarufu, assume wangekuwa wanataka password ziwe namba mbili ina maana mtu akigues mara 100 tu kuanzia 0 mpaka 99 atakuwa amepata password yako.Habarini humu waungwana..?
Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja yangu inakuja Kama ni mdukuzi akidukuwa kwani hiyo nywira wanayoiita ngumu hawezi kuiona..??
Maana katika kumbukumbu zangu hapahapa bongo kuna chuo website yake ilikuwa hacked yani password na jina la mtu vikawa vinaonekana njenje ukichukua ukaweka ngoma ina log in!!..π
Sasa kwa mambo Kama haya Kuna umaana upi wa kuwa na strong password ikiwa vinaweza kudukuliwa...??
Ahsante mkuuKuna njia ya kuhack password inaitwa Brute force, njia hii inakuwa ina guess password inajaribu kila namba na password maarufu, assume wangekuwa wanataka password ziwe namba mbili ina maana mtu akigues mara 100 tu kuanzia 0 mpaka 99 atakuwa amepata password yako.
Kwa computer nzuri kubwa kenzy1234 ni password yenye herufi na namba na character 8 hii chini ya masaa mawili inadukuliwa, ila ikiwa na character na combination ya herufi kubwa na ndogo itachukua siku kadhaa.
Ila ukiweka password ngumu kuna njia nyengine kama phishing, database breach, logging etc Mtu anaweza kuiba account.
Nimekupata@chief mkwawaKuna njia ya kuhack password inaitwa Brute force, njia hii inakuwa ina guess password inajaribu kila namba na password maarufu, assume wangekuwa wanataka password ziwe namba mbili ina maana mtu akigues mara 100 tu kuanzia 0 mpaka 99 atakuwa amepata password yako.
Kwa computer nzuri kubwa kenzy1234 ni password yenye herufi na namba na character 8 hii chini ya masaa mawili inadukuliwa, ila ikiwa na character na combination ya herufi kubwa na ndogo itachukua siku kadhaa.
Ila ukiweka password ngumu kuna njia nyengine kama phishing, database breach, logging etc Mtu anaweza kuiba account.
strong nywila sio kuwa zinakuwa haziwezi kudukuliwa laaa, ila itamchukua mda mrefu mdukuzi hadi aje kuguess hio nywila compared to nywila ya kawaida ndomana tunashauriwa kutumia strong nywila ambazo zina mchanganyiko wa character kama @#!? ni hivyo mkuuHabarini humu waungwana?
Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja yangu inakuja Kama ni mdukuzi akidukuwa kwani hiyo nywira wanayoiita ngumu hawezi kuiona?
Maana katika kumbukumbu zangu hapahapa bongo kuna chuo website yake ilikuwa hacked yani password na jina la mtu vikawa vinaonekana njenje ukichukua ukaweka ngoma ina log in!!..π
Sasa kwa mambo Kama haya Kuna umaana upi wa kuwa na strong password ikiwa vinaweza kudukuliwa...??
Jamaa wameshasema itachukua muda kugundua nywila sio nywira, kuna factor nyingi sana hatakama nywila zitakuwa strong intagemea na algorithm inayotumika kuzificha/hash sasa kama hao wa yudom mbona ni issue simple wait hawakutumia algorithm yoyote kuficha hizo nywila na aliegundua hilo ni either alitambua Mahala ambapo sio rahisi kufikika mfano database inayoifadhi nywila haikuwa secure ama backup file lenye datatbase ikiwa na data limo kwenye folder ambalo sio secure, non https protocol inaweza kuwa sababu ama hawakufanya configuration vizuri wakati wanahost kuzuia direct access ya mafolder, hivyo hata mjinga akiandika labda:Habarini humu waungwana?
Kuna swala mimi linanitatiza juu ya nywira(password), Kwanini wanatusihi kuwa na nywira ngumu ikiwa Kuna uwezekano wa kuweza kudukuliwa..? Let's say mfano niweke nywira hii Kenzy1234,hii watasema ni dhaifu hivyo strong watataka iwe ya mfano huu X#@Bata52,Sasa hoja yangu inakuja Kama ni mdukuzi akidukuwa kwani hiyo nywira wanayoiita ngumu hawezi kuiona?
Maana katika kumbukumbu zangu hapahapa bongo kuna chuo website yake ilikuwa hacked yani password na jina la mtu vikawa vinaonekana njenje ukichukua ukaweka ngoma ina log in!!..π
Sasa kwa mambo Kama haya Kuna umaana upi wa kuwa na strong password ikiwa vinaweza kudukuliwa...??
Huyu mkuu, huwa sipendi kukosa michango yake inayohusu haya mambo ya aina hii!Nimekupata@chief mkwawa
Computer ya kisasa itatumia miaka 5 na miezi minne ku crack '8 characters passwords' kama 'kenzy1234' na sio siku mbiliKuna njia ya kuhack password inaitwa Brute force, njia hii inakuwa ina guess password inajaribu kila namba na password maarufu, assume wangekuwa wanataka password ziwe namba mbili ina maana mtu akigues mara 100 tu kuanzia 0 mpaka 99 atakuwa amepata password yako.
Kwa computer nzuri kubwa kenzy1234 ni password yenye herufi na namba na character 8 hii chini ya masaa mawili inadukuliwa, ila ikiwa na character na combination ya herufi kubwa na ndogo itachukua siku kadhaa.
Ila ukiweka password ngumu kuna njia nyengine kama phishing, database breach, logging etc Mtu anaweza kuiba account.
Nimesema masaa mawili kenzy1234 na njia hio ni mpya ya kutumia Gpu tofauti na iliyozoeleka ya cpu.Computer ya kisasa itatumia miaka 5 na miezi minne ku crack '8 characters passwords' kama 'kenzy1234' na sio siku mbili
Kama sijakosea nahisi ulimaanisha botnet ambayo inachukua nusu saa