Nini maana ya kupenda?

Nini maana ya kupenda?

NEW NOEL

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2011
Posts
863
Reaction score
409
Kila mtu ana kile ambacho anakipenda zaidi kati ya vile alivyonavyo. kuna anayependa mtoto wake kuliko kingine chochote,kuna anaependa simu yake au gari yake kuliko kingine chochote.
Jamaa huyu anaonekana kumpenda mbwa wake kuliko kingine chochote,kiasi cha kutembea nae.
Je wewe unapenda nini,ambacho unahisi ndio kinakupa furaha?
140577631.jpg
 
Yawezekana ni kitoweo kunapelekwa sokoni kwa biashara
 
Najipenda hadi kutembea na mimi kila pahali
 
Hahahaha, akipita kkoo siku ya ijumaa huyu wanamsulubisha!

Sio sawa bwana, atakuwa anamuumiza huyu mbwa miguu, ametanuaje ya nyuma?
 
Huyo mbwa anaonekana ni jike pengine ni mpenzi wake si unajua mambo ya mahabazi.
 
Nampenda mume wangu kupita kitu chochote katika hii dunia natamani nimbebe kama hivyo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom