Nini maana ya kuoa?

Tatzo ulioa kwasabu umri unaenda...mke huandaliwa mapema na unapofika mda mwafaka basi unamweka mtoto wa watu ndani
 
Ndoa za siku hizi watu mnakurupuka,ndoa miaka miwili tuu unalalamika hivi mtafika mbali kweli.
Hatumshirikishi Mungu au ni nini?
Mwombe Mungu akuonyeshe jinsi ya kutatua issues ili upate AMANI ndani ya ndoa yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…