Habari wana JF.
Naomba kuuliza, hivi nini maana haswa ya wafiwa kulala chini kipindi cha msiba? Hii ni kwa baadhi ya makabila.
Habari wana JF.
Naomba kuuliza, hivi nini maana haswa ya wafiwa kulala chini kipindi cha msiba? Hii ni kwa baadhi ya makabila.
kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.
Sasa apo ushilikina upo wapi??
Nina uhakika humaanishi watu wote msibani hulala chini na kucha vitabda visitumike? Ninachojua ni kuwa kwa vile msibani wanakuja watu wengi na ile sio nyumba ya wageni ni obvious vitabda havitawatosha na hivyo lazima watu walale chini. Nothing special.
Kwa sisi waxaramo unapofiwa kuanzia siku ile ya kwanza ya msiba mtalala chini kwenye mkeka siku tatu hii tunaita kukaliza maiti siku yatatu asubuhi na mapema tunaamka kwa pamoja tunafagia uwanja pamoja na vyumba vyote walivyolala wafiwa takataka zote tunaweka kwenye sufulia tunachanganya na majivu bibi au shangazi atahusika kubeba kichwani tunaongozana wote kwa pamoja aliebeba sefulia akiwa ametangulia mbele hadi makabulini anatupa sefulia pamoja na uchafu wake haraka sana tunageuza na kuludi nyumbani hiii humaanisha maladh yoyote aliyougua marehemu yasijiludie kwa mwanafamilia mwingine.
Latifaaaa.....
Nina uhakika humaanishi watu wote msibani hulala chini na kucha vitabda visitumike? Ninachojua ni kuwa kwa vile msibani wanakuja watu wengi na ile sio nyumba ya wageni ni obvious vitabda havitawatosha na hivyo lazima watu walale chini. Nothing special.[/QUOTkiafrika Zaidi hii ipo hivi watu wanakuja kukupa pole symphasy or mourn sasa kwa kuwa wao huwezi ku wa accommodate wote kitandani inabidi tu na wewe ushuke chini kuwasapoti chini kwa hiyo kinachofanya mfiwa kulala chini ni kwamba mgeni analala chini kwa nini mwenyeji alale kitandani