[h=2]kiherehere - Ni kuwa na maamuzi ya haraka sana bila sababu ya msingi. Kufanya jambo wa kwanza hata kama haukutakuwa kulifanya wewe.
mbea - Ni mtu anayeongea ukweli mahali ambapo hapahusiki kwa namna inayoweza leta madhara kwa wahusika. Mfano. Umemkuta mke wa rafikiyo kapata ajali mbaya moshi, ukamsaidia na kumpigia simu mumewe. Kumbe mke aliaga kenda Iringa. Utakuwa umevunja ndoa kwa nia yako nzuri {umbea wako}.
mnafiki - Kutoa taarifa kwa mtu ili akupende tu. Unaweza kuwahusisha watu wawili katika taarifa ambazo zitaishia kugombanisha. Nia mbaya ikiongezeka huitwa Majungu hususani kama yatahusisha wewe mtoa taarifa kupenda cheo.
mzadiki - Hili sijui maana yake vizuri[/h]