Nafikiri Zaidi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 516
- 686
"ROAMING" Inaruhusu simu yako kutumia internet unapokuwa nje ya nchi huku ukiwa na sim card ya nyumbani.
Utani kwenye mambo serious haipendezi ndugu yangu Sikonge. Labda kama swali la mleta mada lingeulizwa kule jokes column.Ni majina ya Watoto wa Kiume wa Mzee Rutabaluka wa Kashozi, Bukoba.
Wa Kwanza anaitwa International, wa pili Roaming na wa tatu ni Simcard.
Kwa kuongezea, ukiwa unafanya roaming vile vifurushi vya bwerere havifanyi kazi. Kama una vocha za mawazo bora ununue simcard ya nchi uliyopo
Utani kwenye mambo serious haipendezi ndugu yangu Sikonge. Labda kama swali la mleta mada lingeulizwa kule jokes column.
BTW Sikonge, mimi sio mtu mgumu ila mtu serious kiasi.Anyway, nimekuelewa.Inafaa kujilegeza kidogo hapa JF kama ulivyofanya kwani hukuwa na nia mbaya maana hata ulivyonijibu umemgusia mzee wa vichekesho shehe kipozeo wa neema za allah.Usiwe Mtu mgumu namna hiyo ndugu yangu. Maisha yenyewe magumu, na wewe unakuwa mgumu?
Niliandika hivyo mwishoni baada ya kuona majibu ya maana tayati yameshawekwa na Wana JF.
Ingelikuwa kosa kubwa sana kuandika hivyo mwanzo kabisa. Easy, easy!!!!!!!
Hata Mwenzio Kipozeo huweka utani mwishoni wa MIZIGO na maMiss, Miss Bantu Wallah!!!