Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,261
Mimi huwa naota napaa yani kwa mfano naweza ota niko na washkaji tunatembea road then mara ghafla naanza kupaa kama nina mabawa ni ni mara kwa mara hii hali inanitokea sijui ina maana gani mpaka nimesha zoea na sijawai umiza kichwa kuhusu hii ndoto maana sijawai amini kwenye ndoto....hii imekaaje wadau
Cc
Mshanajr Israel
[emoji2980][emoji2980][emoji2980]
Cc
Mshanajr Israel
[emoji2980][emoji2980][emoji2980]