Nini maana ya Full Technician Certificate?

GERERE

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
30
Reaction score
19
Ndugu zangu ukiwa unaaply degree NACTE wameweka kigezo cha full technician certificate lkn mimi siielewi inamaanisha nini anaeilewa anisaidie ndugu zangu
 
Ni diploma ya ufundi ya zamani ilikua inaitwa hivyo FTC
 
sasa pale ukiwa unaomba nacte hawajaonesha kama umepitia certificate uweke sifa hiyo

Yeah, ni Full Technician Certificate muundo wa Diploma kwa Ujerumani. Ni tofauti na Certificate ambayo huwa ni bridge kwa wale wanaotaka kujiunga na Diploma. Hivyo kabla ya kufuata muundo wa Diploma,vyuo vya ufundi vilitoa FTC na Advanced Diploma(in Engineering au fani yoyote) ambayo inaitwa ni Equivalent na Bachelor Degree!
 
Kwa hyo km huna unaclick no then unaendelea na mambo mengine
 
Back
Top Bottom