jiwe gizani
JF-Expert Member
- May 25, 2021
- 380
- 511
Salaaam wakuu
Nimeona hili neno EP linatumiwa Sana na wasanii wa mziki....ni nini maana yake?
Nimeona hili neno EP linatumiwa Sana na wasanii wa mziki....ni nini maana yake?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wenyewe huenda hawajui maana yake
Long playlist inakua na tracks zaidi ya 6 while EP ina fewer tracksLP je unajua maana yake?
Wenyewe huenda hawajui maana yake

ThanksEP - Extended Playlist, ni toleo lijumuishalo nyimbo zisizozidi 5.
Lumbar PunctureLP je unajua maana yake?
Mleta mada fuata muongozo huo hapo...