Wana JF nisaidieni nimekuwa nikisikia watu na wasomi kibao waki ongelea hili swala la elimu ya ku unga unga lakini nipo njia panda sijapata maana sahihi kwa anaejua ina maana gani elimu ya ku ungaunga anieleweshe.
Ninavojua ni elimu ambayo mtu amesota sana mpaka kufika juu, yaani kwa lugha nyingine ni ata kufeli feli kafeli sana, na hata kufanya udanganyifu mfano ndg yetu mkuu(....) Alivounga unga....
Ninavojua ni elimu ambayo mtu amesota sana mpaka kufika juu, yaani kwa lugha nyingine ni ata kufeli feli kafeli sana, na hata kufanya udanganyifu mfano ndg yetu mkuu(....) Alivounga unga....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.