Nini maana ya E, G na H kwenye mitandao ya simu?

Naomba nimrekebishe kidogo hapo kwenye G sio gsm bali ni GPRS (General Packet Radio Service) na hiyo 3G ni third generation kama ilivyo 2G ambayo ni second generation ambayo pia ndiyo GPRS yenyewe, na 4G ni forth generation nadhan H na H+ zimesha elezwa hapo juu

Kifupi ni kwamba hizo namba 2G,3G, 4G ,5G ni generation tu ambapo ndani ya generation hizo ndio tuna pata GPRS, EDGE , WCDMA, HSDPA, HSPA HSPA + ,EV-DO nk.

Kwa hivyo 2G ndani yake ndio tunapata G na E na ndani ya 3G tunapata WCDMA,H na H+ ,EV-DO na ndani ya 4G ndio kuna LTE nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo
Aisee
 
Akikuuliza generation ni nini nikiwa siko online tafadhari nifikishie ujumbe mwambie ni kizazi
 
Back
Top Bottom