Nini maana ya E, G na H kwenye mitandao ya simu?

Nini maana ya E, G na H kwenye mitandao ya simu?

mwemweremwemwere

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Posts
605
Reaction score
680
Wajameni mnitoe tongotongo mwenzenu. Nimekuwa nikiona hizo alama za E, G na H kwenye simu hasa kama simu ipo kwenye intaneti.

Zikionekana E na G basi lazima netweki inakuwa chenga balaa, ila ikiwa H ndo kitu kinakuwa konki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 inasimama badala ya nn
Naomba nimrekebishe kidogo hapo kwenye G sio gsm bali ni GPRS (General Packet Radio Service) na hiyo 3G ni third generation kama ilivyo 2G ambayo ni second generation ambayo pia ndiyo GPRS yenyewe, na 4G ni forth generation nadhan H na H+ zimesha elezwa hapo juu

Kifupi ni kwamba hizo namba 2G,3G, 4G ,5G ni generation tu ambapo ndani ya generation hizo ndio tuna pata GPRS, EDGE , WCDMA, HSDPA, HSPA HSPA + ,EV-DO nk.

Kwa hivyo 2G ndani yake ndio tunapata G na E na ndani ya 3G tunapata WCDMA,H na H+ ,EV-DO na ndani ya 4G ndio kuna LTE nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo
 
E- EDGE (Hii ni 2G pia but ina data, japo data yake ipo limited kwenye speed)
G- 2G GSM (hii haina data, ni text na calls only)
H- 3G HSPA (High Speed Packet Access, internet inayomwagika)
Naomba nikurekebishe kidogo hapo kwenye G sio gsm bali ni GPRS (General Packet Radio Service) na hiyo 3G ni third generation kama ilivyo 2G ambayo ni second generation ambayo pia ndiyo GPRS yenyewe, na 4G ni forth generation nadhan H na H+ zimesha elezwa hapo juu

Kifupi ni kwamba hizo namba 2G,3G, 4G ,5G ni generation tu ambapo ndani ya generation hizo ndio tuna pata GPRS, EDGE , WCDMA, HSDPA, HSPA HSPA + ,EV-DO nk. Ambapo kadri zinavyo panda ndivyo speed ya download pia inavyo ongezeka

Kwa hivyo 2G ndani yake ndio tunapata G na E na ndani ya 3G tunapata WCDMA,H na H+ ,EV-DO na ndani ya 4G ndio kuna LTE nadhani utakuwa umepata mwanga kidogo
 
Back
Top Bottom