Nini maana ya D-4 VVTi; Engine

Nini maana ya D-4 VVTi; Engine

Forecaster

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2013
Posts
211
Reaction score
123
Wakuu naomba nini maanaa ya D-4 VVTi engine na VVTi engine ya kawaida. Sijui tofauti ni nini?

Natanguliza shukrani
 
The two engine types are quite different however. While both have similar internals, the big difference is the way the fuel is injected into the engine.
With the VVTI engine, fuel is injected into the inlet manifold to mix with the air prior to entering the combustion chamber.
In the D4 engine, fuel is injected under very high pressure into the combustion chamber itself (direct injection). During the combustion process, air is compressed and at a very precise moment fuel is injected directly into the combustion chamber. The idea behind this concept is to allow the engine to run leaner producing less emissions and lower fuel consumption.
In theory the D4 engine is very good and is an advancement on the VVTI however, history has shown it does not take much to upset the engine performance and issues such as surging, rough idle and engine stutter are not unusual.
Unfortunately these problems are not that easily sorted out with little product knowledge on these engines available within the industry. This often leads to expensive, unnecessary and time consuming repairs.
VVTI stands for "Variable Valve Timing Induction". This engine type is a lot more conventional and improves performance by optimising valve timing. It is a proven system, effective and very trouble free.
The D4 can be recognised by a large plastic cover over the engine with embossed D4 lettering.
If I recall correctly, the VVTI engine has the lettering cast into the aluminium rocker cover on top of the engine.
 
Asante mkuu kwa ufafanuzi,but issue yangu ni kwamba nahitaji kununua gari aina ya TOYOTA BREVIS yenye engine ya mfumo Wa VVTi but wakati nalipokuwa naikagua engine ilikuwa imeandikwa D-4 VVTi so nikashindwa kujua ni D4 au n VVTi au ni vyote kwa pamoja lakini kwa maelezo ya muuzaji ni kwamba engine sio D-4 persee Bali ni VVTi ile D4 inastand for drive -4.sasa mimi sio mziefu Wa magari, je ni kweli hiyo engine ya gari ni VVTi kwa maelezo yake Pia nataka kuichukua hiyo gari ni nzuri kwa wanaizijua.
asante
 
Mkuu D4 Bongo Mafundi bado sana na kwa Ubora wa Mafuta yetu Jiandae kulia kilio, Nadhani achana na D4 Komaa na VVTI.
 
jamaa yangu alinunua toyota premio yenye d4 alijuta kununua gari,ilimsumbua sana hadi alipoamua kuiuza bei ya nyanya.kwa kweli injini hiizi ni majanga
 
Engine za mark x ni d4 with vvti. Hapo sasa.

Engine za D4 zina sensor nyingi sana na pia kwa vile inainject mafuta moja kwa moja inaitaji mafuta masafi.
Ila D4 in upgrade...inapower zaidi, ulagi wa mafuta ni mzuri zaidi, tatizo ni electronic sensors na mafuta yetu ya mixture.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk
 
Ok wakuu kwa maelezo hii gari niliyotaka Toyota Brevis Bado ni D4 japo ni with VVTi, kwa hiyo kunahitaji uangalifu hapa
 
jamaa yangu alinunua toyota premio yenye d4 alijuta kununua gari,ilimsumbua sana hadi alipoamua kuiuza bei ya nyanya.kwa kweli injini hiizi ni majanga

Kwani haikubali kubadili engine toka D-4 hadi VVTI?mafundi wanasemaje kuhusu hilo
 
Engine za mark x ni d4 with vvti. Hapo sasa.

Engine za D4 zina sensor nyingi sana na pia kwa vile inainject mafuta moja kwa moja inaitaji mafuta masafi.
Ila D4 in upgrade...inapower zaidi, ulagi wa mafuta ni mzuri zaidi, tatizo ni electronic sensors na mafuta yetu ya mixture.

Sent from Samsung Note III using Tapatalk

Magari yote ya kisasa yanayo tengenezwa kutoka Japani yanatumia Engine System ya Direct Injection (D-4) , Ingawa wameacha kutumia neno D-4, Kwani ilipotoshwa na Competitors wao. Technologia hii ndiyo inayotumika kwa magari mengi ya Germany tangu miaka ya 1980.(Benz, BMW N.k).Ukiona engine zote za [h=3]1ZR-FE,2ZR-FE,2ZR-FAE,3ZR-FE,3ZR-FAE, 3ZR-FBE,4ZR-FE,5ZR-FXE, ambazo ndiyo za kisasa zinatumia mfumo huo, VVT nimfumo unaohusu matumizi ya Cam shaft mbili kufungua Valve , Kwa hiyo basi Direct Injection ni njisi mafuta yanavyo ingia kwevye Cylinder, na VVT -( Variable valve Timing,) Valve zinavyo funguka. Hivyo basi Direct Injection ni mfumo mzuri kwa sasa , Ingawa ni kweli unahitaji mafuta mazuri. Namakampuni mengi ya magari ndo yanatumia mfumohuo kwa sasa.[/h]
 
Wakuu naomba nini maanaa ya D-4 VVTi engine na VVTi engine ya kawaida. Sijui tofauti ni nini?

Natanguliza shukrani

Magari yote ya kisasa yanayo tengenezwa kutoka Japani yanatumia Engine System ya Direct Injection (D-4) , Ingawa wameacha kutumia neno D-4, Kwani ilipotoshwa na Competitors wao. Technologia hii ndiyo inayotumika kwa magari mengi ya Germany tangu miaka ya 1980.(Benz, BMW N.k).Ukiona engine zote za 1ZR-FE,2ZR-FE,2ZR-FAE,3ZR-FE,3ZR-FAE, 3ZR-FBE,4ZR-FE,5ZR-FXE, ambazo ndiyo za kisasa zinatumia mfumo huo, VVT nimfumo unaohusu matumizi ya Cam shaft mbili kufungua Valve , Kwa hiyo basi Direct Injection ni njisi mafuta yanavyo ingia kwevye Cylinder, na VVT -(Variable valve Timing,) Valve zinavyo funguka. Hivyo basi Direct Injection ni mfumo mzuri kwa sasa , Ingawa ni kweli unahitaji mafuta mazuri. Namakampuni mengi ya magari ndo yanatumia mfumohuo kwa sasa.

Hivyo basi Gari hiyo hiyo itatumia Direct Injection na VVT.
 
Ndugu. Naona unaweza Kuwa wa msaada mkubwa hapa. Ingefaa sana kama ungeziainisha aina za engine zinazofaa kwa mazingira ya hapa kwetu Tanzania.
Shukrani.
 
Wakuu naomba nini maanaa ya D-4 VVTi engine na VVTi engine ya kawaida. Sijui tofauti ni nini?

Natanguliza shukrani

Nimeitoa RT.com, D-4 stands for denial, disrupt, degrade, decieve...

"
Other discrediting tactics used against individuals include setting a "honey-trap" (using sex to lure targets into compromising situations), changing a target's photo on a social media site, and emailing or texting "colleagues, neighbours, friends etc."
To "discredit a company," GCHQ may "leak confidential information to companies/the press via blog...post negative information on appropriate forums [or] stop deals/ruin business relationships."
JTRIG's ultimate purpose, as defined by GCHQ in the document, is to use "online techniques to make something happen in the real world or cyber world." These online covert actions follow the "4 D's:" deny, disrupt, degrade, deceive."

http://rt.com/news/five-eyes-online-manipulation-deception-564/
 
Back
Top Bottom