Nini maana sahihi ya kughushi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Wadau naomba kujuzwa maana sahihi ya neno 'kughushi'. Endapo mtu alitumia cheti cha mtu mwingine kuingia sekondari na akasoma mwenyewe hadi chuo kikuu atakuwa ameghushi? Kama ndiyo mnasemaje kwa ambaye hakusoma lakini katumia cheti cha mtu mwingine kupata ajira? au huyu ataitwa mwizi wa cheti? Tafadhali nielimisheni taratibu bila jazba maana tuliosoma enzi za ujamaa kusomea cheti cha mwanakijiji mwenzio kwa faida ya kijiji na taifa haikuwa shida tuliita 'uzalendo'! ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…