Usituletee maneno ya Kihindi na kutaka kuyahalalisha kuwa ni ya Kiswahili. Ukiona vipi, rudi basi shuleni.Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini?
Msaada tutani.
Lina sound kama ushuzi vileWakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini?
Msaada tutani.
Ungetoa walau vihisia, umelitoa wapi, lilitumika aje n.k. La sivyo itakuwa kazi hata kwa mwenye nia ya kusaidia kulitafuta.Wakuu, hivi maaana ya hili neno "Achuz" ni nini?
Msaada tutani.