Nini maana halisi ya Interchange?

Nini maana halisi ya Interchange?

Mkuu ebu acha fix...hii ya Ubunge ni intersection road
Kama unajua maana ya intersection basi kwa tafsiri yako flyover na interchange zote ni intersection. Tatizo linalowasumbua watu hapa ni design ya hii interchange ya Kijazi. Wanadhani interchange lazima iwe na muundo wa kupinda pinda ndio iitwe interchange!
 
Anyway mimi ni ukawa ila kijazi interchange inasaidia sana mkuu. Kulikua na tatizo serious sana la foleni pale ubungo sahv ni kuteleza tu
Umeelewa swali la mleta mada?
 
Nimemuelewa sana. Na yeye kajua nimemuelewa mno. Jibu limemtosha kabisa. Whatever iitwavyo ila imesaidia sana kupunguza changamoto pale ilipo.
Hivi mleta mada amesema halijasaidia kupunguza foleni? Umeanza sijui eti we ni Ukawa, so what? Embu tutumie akili basi tunapoweka maandiko humu, sababu yanaishi muda mrefu.

Mada ni "Nini maana ya Interchange"?
 
Unaonyesha uzwazwa tu, intersection ni mahali barabara mbili zinapokutana ziwe za lami au vumbi, iwe juu au chini.
Hakuna kitu kinaitwa intersection road, kwenye mambo yanayohitaji elimu kaa kimya.
Soma tena ulicho andika kuhusu jibu langu kua hiyo ni intersection road...alafu wewe na elimu ni vitu viwili tofauti kumbuka .Elimu ina wewe ila wewe elimu huna.Siku ina masaa 48
 
Tutembelee nchi za wenzetu jamani tuone na kujifunza maana halizi ya interchange roads...tuache kujikweza na hivi vi intersection vilivyo changamka
 
Tutembelee nchi za wenzetu jamani tuone na kujifunza maana halizi ya interchange roads...tuache kujikweza na hivi vi intersection vilivyo changamka
Cha kusikitisha ni kwamba Interchange yetu ya kisasa iko nje ya jiji !
 
Back
Top Bottom