Nini maana halisi ya Interchange?

Nini maana halisi ya Interchange?

Katika fani ya usafiri wa barabara, interchange ni makutano ya barabara ambayo yanatenganisha barabara kwa wimo tofauti ili kuruhusu magari ya upande mmoja kupita katika makutano ya barabara bila kukutana/kupishana njia na magari yanayotokea upande mwingine...
Maelezo yametulia sana. Shukrani kwa shule mkuu.
 
Aisee.. Hii ni laana ama nini?

Mleta mada jiangalie sana huenda una laana ya kupinga pinga na huenda kuna siku ulimkataa babako ndio ukaipata.
Wajinga wadiotaka kuelimishwa bwana....Siku ina masaa 48.Kilichojengwa na WORLD BANK ni intersection
 
Katika fani ya usafiri wa barabara, interchange ni makutano ya barabara ambayo yanatenganisha barabara kwa wimo tofauti ili kuruhusu magari ya upande mmoja kupita katika makutano ya barabara bila kukutana/kupishana njia na magari yanayotokea upande mwingine...
Hapa ndipo ninapoipendea JF yaani mtu anachukua muda wake kuandika na kuelewesha wengine bila hiyana.
Ahsante sana.

Ulitisha sana kwenye uzi wa kula tunda kimasihara.
 
Katika fani ya usafiri wa barabara, interchange ni makutano ya barabara ambayo yanatenganisha barabara kwa wimo tofauti ili kuruhusu magari ya upande mmoja kupita katika makutano ya barabara bila kukutana/kupishana njia na magari yanayotokea upande mwingine...
Mkuu ebu acha fix...hii ya Ubunge ni intersection road
 
Nia ya ndani kabisa ya mwandishi ni Ujinga wa kiupinzani usiosaidia kitu na ndio huo ujinga uliwakera wananchi wakaamua kutoa Adhabu ya karne
Magufuli anasema madiwani hawakuchaguliwa na wananchi , alishasema huko nyuma kwamba wabunge nao hawakuchaguliwa , sasa kapuku kama wewe kusema wananchi walituadhibu umetoa wapi ?
 
Mkuu ebu acha fix...hii ya Ubunge ni intersection road
Unaonyesha uzwazwa tu, intersection ni mahali barabara mbili zinapokutana ziwe za lami au vumbi, iwe juu au chini.
Hakuna kitu kinaitwa intersection road, kwenye mambo yanayohitaji elimu kaa kimya.
 
Magufuli anasema madiwani hawakuchaguliwa na wananchi , alishasema huko nyuma kwamba wabunge nao hawakuchaguliwa , sasa kapuku kama wewe kusema wananchi walituadhibu umetoa wapi ?
Anzisha mada nyingine ya uchaguzi Ili tuijadili, Maana hapo umenilisha maneno we kibwengo wa ufipa,

Sikutaja Neno uchaguzi mimi
 
Nimemuelewa sana. Na yeye kajua nimemuelewa mno. Jibu limemtosha kabisa. Whatever iitwavyo ila imesaidia sana kupunguza changamoto pale ilipo.
"whatever iitwavyo "😆😆😆
 
Je ni kama picha hii

View attachment 1710988

Au hata barabara iliyokaa kama msalaba kwa maana ya kutoka kulia kwenda kushoto na kutoka nyuma kwenda mbele nayo yaitwa Interchange ?....
Ina maana Kukataa kwamba Tanzania kuna Corona ila Uvaaji wa Barakoa tunahimizwa ni muhimu. Nadhani hiyo Interchange unayoiulizia umeiona hapo Ndugu.
 
1614190482668.png

According to Wikipedia, "At least one highway to pass without interruption"
Ukitoka Riverside kuvuka kwenda Mawasiliano unapita bila interruption ✅
Ukitoka Ubungo Maji kuvuka kwenda Ubungo Plaza bila interruption ✅

Basi imaekidhi viwango.
 
Back
Top Bottom