Nini kitatokea endapo serikali haitalipa fedha za IPTL?

Nini kitatokea endapo serikali haitalipa fedha za IPTL?

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,926
Reaction score
4,110
Nimekua nikifuatilia sakata la kesi ya IPTL kwa mda sasa. Na maamuzi ya kesi hivi majuzi tu ni serikali kutakiwa kulipa deni la dola mil.427. Kulingana na maelezo Msemaji wa serikali Dr. Abbasi ni kwamba serikali haihusiki na deni hilo na hivyo kugoma kulipa.

Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie nini kitatokea endapo fedha hizo hazita lipwa?
 
Nimekua nikifuatilia sakata la kesi ya IPTL kwa mda sasa. Na maamuzi ya kesi hivi majuzi tu ni serikali kutakiwa kulipa deni la dola mil.427. Kulingana na maelezo Msemaji wa serikali Dr. Abbasi ni kwamba serikali haiusiki na deni hilo na hivyo kugoma kulipa.Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie nini kitatokea endapo fedha hizo hazito lipwa?
 
Watadaka bombadia zetu endapo zitafika huko mwa kwao au kitu chochote chenye dhamani
Nimekua nikifuatilia sakata la kesi ya IPTL kwa mda sasa. Na maamuzi ya kesi hivi majuzi tu ni serikali kutakiwa kulipa deni la dola mil.427. Kulingana na maelezo Msemaji wa serikali Dr. Abbasi ni kwamba serikali haiusiki na deni hilo na hivyo kugoma kulipa.Naomba wajuzi wa mambo mnisaidie nini kitatokea endapo fedha hizo hazito lipwa?
 
Ndege zetu zisivuke mipaka ya Nchi with immediate effect!
 
Back
Top Bottom