Nini kitakuuma ukifumania??

" Uuuuwiiii aaaiseee mama masaweeee ni ufala gani unafanya apa, aiseee chalii angu baba chiruu nakueshimu sana lakini umekula mke angu tena kitandani kwangu unajua hii kitanda inauzwa shi ngapi we falaaa, na we mama masawe naomba urudishe pesa ya mahali yangu na pesa nilizokupa toka tulivyokuwa wachumba aisee siwezi kupoteza hela angu hivi hivi kwanza hatoki mtu ndani bila kunipa pesa angu mafala ninyi nitaua mtu humu ndani "

mchaga akikufumania utajuta.

[emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119]
 
Hakuna mateso mabaya kama unamfumania mke, unamuonyesha kuwa umejua , halaf baada ya hapo humuongeleshi, nyumbani hauli, no salam , no mazoea. Huwa wanateseka sana, yaaan mweneywe tu atajisalimisha kwa ndugu ili msuluishe.
 
Nkifumania ntafurahi ntajua
Kumbe mpenz wngu kachangamka ivo....sio kazi kula mboga moja tu...mwanaume inatakiwa uchangamke buana
 
Yaani anakaguliwa hivyo na kutendewa yote hayo na yeye bado kang'ang'ana tu kwenye hayo mahusiano ningekua mie nduki mda mreeefu
 
Imefika tamati
Tulisubiri kitambo
Leo samaki
Kanasa kwenye chambo
Pongezi kwa kamati
Yanavutia mapambo
Napata picha safi
Litanikoma bundle
Mwanamke usafi
Gaga kulisugua
Mume akirudi sharti
Viatu kumvua
Kitandani marashi
Massage kumchua
Kisha anza sayansi
Viuno kutengua
Mambo ya kuzima taa
Si mahaba ni kuwanga
Washa japo ka mshumaa
Mumeo aone shanga
 

Tulitaftie beats shairi hili lita hit kinyama....nimelipenda mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…