Sasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.
Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.
Case ya pili ni mimi kufumania.
Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.
Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.
Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Pole sana mkuu, hope ulipita salama na kidonda kimeshaponaNimeshayapitia hayo!.. wayback
You got what u deserve. Ulitembea na mwanamke wa mwenzio hukujua malipo hapa hapa duniani.Sasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.
Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.
Case ya pili ni mimi kufumania.
Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.
Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.
Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Karma at workYou got what u deserve. Ulitembea na mwanamke wa mwenzio hukujua malipo hapa hapa duniani.
Kilichonipata mi ndio hadi leo wivu umeniishia yaani wivu sinaga tena!
Kuna mchuchu nilimpedaga sana nadhani ndio mwanamke alie take my breath away!nilikuwa bado chalii flani ndo naanza life.pale kwao alikuwa anaishi na mamaake tu ambae alikuwa anauza maandazi.
Yule dem tulikuwa na uhusiano kama miaka miwili hadi tukazoeana sana hata kwao naenda mama ake pia akawa ananipenda sana.siku ya siku alikuja jamaa mmoja pale kwao mtu mzima kiasi.basi yule dem wangu akanitambulisha mi kwa yule jamaa kwamba mi rafiki yake!baada ya jamaa kuondoka dem akaniambia huyu jamaa ananisumbua anataka kunioa!ila mi simtaki.anyway yule jamaa kila akija ananiulizia naitwa tunapiga stori mwishoe akaniambia vipi mtoto katulia huyu nataka kumuoa?nikamjibu anafaa oa tu!nilimjib nikijua dem mwenyew hamtaki hivyo jamaa anapaka rangi upepo tu.
Kuna siku dem akaniaga anasafiri kidogo kwenda msalimia babaake ambae alikuwa na bathdei.
Basi usiku huo nipo geto nikasema ngoja nimpigie yule mchumba wa dem wangu kumsabahi tu!maana tulishakuwa marafiki.
Salaleeeee
Baada ya kusalimiana ananiambia Zamaradi niko nae huku ngoja nimwite msalimiane.
Aseee dem akawa anaongea kwenye sim huku anajiuma ikabidi nikate.
Na ile mvua ilikuwa inanyesha usiku huoooo ilibidi nivue nguo nikaoge kwenye mvua tu!nilihis roho inatoka.
Labda malaika ashuke!pole sana mkuu.....
ila usiseme hutapata wivu tena,
kama huyo dada alivyo kugusa mtima wako,
atatokea mwingine ataugusa pia mtima wako hivyo hivyo na kua na wivu nae,
its just a matter of finding this special someone....
don't dwell on the past,life is for living...lol
Haya but nafikiri nimeshazoe kucheza faulu na rafu.Nafikiri staili yangu hii katika mapenzi inanisaidia mimi mwenyewe.sawa mkuu
kwangu mimi naona uko extremely hurt,kumfanyia vituko mwenza wako ni moja ya coping mechanism
na mpenzi wako nae anafeel guilty,ndio maana anaona ana 'deserve' yote unayomfanyia....
forgive yourself and move on
ningependa kuona uhusiano wenu unakufa,lol
its not healthy kukaa kwenye abusive relationship,
certainly its not healthy kukaa na wasiwasi kuwa mwenzako anacheat hivyo kupima VVU kila mara,
utakuja kupata magonjwa ya moyo ukiendelea hivi,
all the best honey
Huo mchaka mchaka unaompeleka mpenz wako. Anataman arshi ipasuke.Sasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.
Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.
Case ya pili ni mimi kufumania.
Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.
Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.
Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Nimekuwa na roho ngum tu!mwanamke akinitishia kdg tu nampiga chinhahaaa mkuu kwa hio uko single??
hujampata,sababu humtafuti,lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi nitaumia sana kama nitamfuma akichapwa na masikini zaidi yangu.
Huu unakuwa ni ugawaji
Rebeca83 yale mapenzi ya namna hiyo hayatokei maranyingi kwenye mioyo ya watu. Nadhani ni once au ikizidi sana twice halafu moyo unakufa ganzi na wapenzi wote watakaokuja baadae utakua na some reservationspole sana mkuu.....
ila usiseme hutapata wivu tena,
kama huyo dada alivyo kugusa mtima wako,
atatokea mwingine ataugusa pia mtima wako hivyo hivyo na kua na wivu nae,
its just a matter of finding this special someone....
don't dwell on the past,life is for living...lol
aaahh yani hadi umri huu ningekuwa sijayapitia na kupona nazani ningekuwa naleta mada za kijinga nisaidiwe mawazo!!..Pole sana mkuu, hope ulipita salama na kidonda kimeshapona