Inashangaza jinsi ulivyobadili mahusiano kua mashindano na kukomoana!Sasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.
Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.
Case ya pili ni mimi kufumania.
Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.
Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.
Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Wewe nawe,hizo zinaitwa personal approaches hayo mengine ni mitazamo yako tu.By the way sinaInashangaza jinsi ulivyobadili mahusiano kua mashindano na kukomoana!
Yani unafurahia unavyo mnyanyasa?
By the way, ipo siku na wewe utakutana na watu wa aina yako. Ukifumaniwa wanatatua marinda tu hakuna habari za kupeana kesi!
Maana nafsi ndio yenye kiherehere cha kupenda acha iumiekinacho umia ni nafsi
That feeling βBroken heartβ π³Kitakachoniuma ni kuvunja uaminifu ambao tulikubaliana na kuapiana
Pole na hongera sana kaka, binafsi sijawai ku experiance hiyo hali licha ya kuwa ni mchepukaaji mzuri sana na hata wife analijua ilo anabaki kuni suspect tuu kutokanaSasa bwana mimi ni muhanga wa yote,kufumaniwa na kufumania.Haikuwa redi hendedi bali ni siri kuvuja tu ikiwa na ushahidi.
Kwenye kufumaniwa na wa mtu,kwa kweli niliona yule jamaa anaishiwa na nguvu,alinifuata akaniambia anajua namla wake na ndio maana mke anamuonesha kiburi.Tatizo wao walikuwa na mambo yao hivyo mimi nilitumia tu huo udhaifu kumega.Nilichokiona ni jinsi yule juu alivyopteza self esteem yake.Alinywea kupita maelezo.Nilijisikia vibaya ila kwa kumsaidia nilimwambia amtafute mtu wake waongee wayamalize wao bila kunihusisha.Akafanya kosa la kunihusisha na matokeo yake....waliachana jumla kwani mimi nilionekana ni gentleman ingawa na mie ni wale wale.
Case ya pili ni mimi kufumania.
Kwanza nilihisi tatizo mapema hasa kutokana na mabadiliko ya tabia ya mpenzi wangu.Nikamwambia tu,Jitahidi kufanya iwe siri,nikipata ushahidi wewe ndo utaumia sio mimi.Nikamuacha akaendelea ila sasa ikafika mahali nikaona ngoja nimuoneshe kuwa mimi ni mpuuzi basi nikaweka kamtego ndani ya masaa matatu nikawa na ushahidi wa picha.
Baada ya ushahidi nikamtafuta mwizi wangu nikampa case ya wizi wa simu na fedha akaka lokapu wiki moja.Binti nikampa mkongoto wa aja nikampeleka hospital akalazwa wiki moja.Baada ya hapo tukaendelea na maisha ingawa kiukweli mpaka sasa huyu mpenzi wangu ninampa mateso makubwa sana ya kihisia kwani namuonesha kutokumuamini waziwazi,huku nikimuonesha upendo wa kisnitch.Kwa kiasi fulani najua kabsia anataka aachane na mimi lakini mimi namwambia nimemsamehe,nampenda.asiniache ila namwambia live kwa maneno na matendo kuwa simuamni.Huwa namkagua kabisa kunako kabla ya shughuli pamoja na kupima VVU kila mwezi.Na mbaya zaidi natumia ndomu wakati alishazoea kavu.Namuona jinsi anavojuta kunifahamu.
Kiufupi jibu ni kwamba inategemea na life style yako.Kama wewe ni pimbi basi utadata ila ukikumbuka kale kamsemo KUCHAPIWA ni SIRI ya NDANI utaelewa ni kwa nini ni vibaya kufumania mtu unayempenda na kumuamini
Yaani nitakumbuka kwamba ule utamu ninao pewaga mimi ndio mwanamume mwenzangu anapewa lazima niende kwa karumanzilaMen seeks women who are physically attractive as this is a sign of good 'genes'
Women seeks men who are dominant and status related characteristics since they want protection/security for themselves and the offsprings they produce.
when it comes to infidelity,wanawake hunywea Zaidi wakigundua mchepuko wa mumewe uko na uzuri/sexy than themselves....ππππππππππππ
na wanaume hunywea wakigundua kuwa mwanaume anayechepuka na mkewe ana high status/wealthy.....πππππππ
ninalileta kwenu kujua kama hili ni kweli,,,,,,,,
nini kitakuuma ukigundua mke/mume anachepuka???kipi kitakufanya unywee??lol
Omba uyasikiage tu kwa wenzio mkuuHii mada hii[emoji2][emoji2]..
Ila inauma sana kugundua uchizi wote uliokuwa unaufanya kuna mwingine alikuwa chizi zaidi yako!..
Nimeshayapitia hayo!.. waybackOmba uyasikiage tu kwa wenzio mkuu