Nini kitafuatia.

Hahahaaa najaribu kufikiria kitakachofuata hapo kama sio jiwe basi ni kisu[emoji23] [emoji23]
 
Chochote kibaya utakachowaza ndicho kitakachofuata....!!!
 
naimagine ingekuwa bongo! yani ni vijembe mpk yatafika kwa mganga!
 
Thread nyingine bana ni kujaza tu sever ya JF kama hii yako ya " nini kitafuata"
 
Thread nyingine bana ni kujaza tu sever ya JF kama hii yako ya " nini kitafuata"
Weka thread za kwako zisizojaza server, au waambie mods waifute ili server isijae.
 
Hahahaaa najaribu kufikiria kitakachofuata hapo kama sio jiwe basi ni kisu[emoji23] [emoji23]
Au huko kwenye fungate jamaa itabidi aombe samahani ndiyo apewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…