Nini kirefu na maana ya neno PLC

Nini kirefu na maana ya neno PLC

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,705
Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public liability company, wengine Private liability company .

Watalaamu wa uchumi na mambo ya fedha watuambie
 
PLC Maana Yake Kwa Kirefu Ni Public Limited Company, Kampuni Zinazomilikiwa Na Umma Kwa Njia Ya Hisa Yaani Zimeorodheshwa DSE.

- Na Hao Private Limited Company Ni Kampuni Binafsi
 
Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public liability company, wengine Private liability company .

Watalaamu wa uchumi na mambo ya fedha watuambie
PLC=public limited company.
Zinauza hisa katika soko la hisa la Dares salaam (DSE). Kuna asilimia fulani raia wabaruhusiwa kununua hisa zake na kuzimiliki.
 
Programing logic Control

kwa sisi mafund ndo tunajua hivyo
 
Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public liability company, wengine Private liability company .

Watalaamu wa uchumi na mambo ya fedha watuambie
PLC= Public Limited Company
 
PLC=public limited company.
Zinauza hisa katika soko la hisa la Dares salaam (DSE). Kuna asilimia fulani raia wabaruhusiwa kununua hisa zake na kuzimiliki.
PLC Maana yake ni kampuni zilizoruhusi watu binafsi(raia) kununua hisa. Kwa hiyo kwa njia moja au nyingine RAIA wenye hisa huwa wamiliki wa hizo kampuni.
 
Back
Top Bottom