Nini kipo nyuma ya mauaji haya ya kikatili Chalinze na Tandale??

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
298,808
751,565
Ndani ya siku nne yametokea mauaji ya kutisha na ya kikatili sehemu mbili tofauti Chalinze na Tandale Dsm, yote yanafanana kwa kila hali kasoro muda
Ya Chalinze yametokea Alhamisi kuamkia Ijumaa ya Dar Jumamosi jana kuamkia leo jumapili
Wote ni wanawake
Wote wamenyongwa
Wote wamebakwa na watu zaidi ya mmoja
Wote wamevunjwa mikono
na cha kushangaza zaidi wote wametobolewa macho
Je.?
Ni mapenzi
Ni ushirikina
Ni visasi
Au ninini
Je ni nani atafuata? Jeshi la police limasemaje hapa?
 
Mauaji ya kutisha chalinze
1466360045732.jpg

Kwa mujibu wa global publishers
 
Hapo inazidi kujidhirihisha kuwa tanzania hakuna amani?
Nkirudi kwenye mada "polisi wetu washazoea kutumia minguvu mingi kufanya upelelezi"?
 
Back
Top Bottom