unaweza ukawa nae 1 na bado likaanguka kuliko la mwenye wa 2-3...inategemea na umbile la mtu..kama mwanaume alikuta chuchu saa 6 abaada ya uzazi zikabadilika bac anatakiwa na yeye ayakubali hayo mabadiliko mana umemletea kiumbe duniani na mabadiliko ya hapa na pale ni muhimu, yaani ni ishu ya mwanaume kulitambua/kulielewa hilo kabisaa....
in bold lets just forget I say anything lollllllllnaaa...I dont..please elucidate...
got you noname...
But you also know perfectly well that hizo figure za hivo na maboobs ni business driven tu, hakuna la zaidi, wanatusingizia wanaume! the power of media an the like! akili za kupewa....
in bold lets just forget I say anything lollllllll
Someone get me b4 i kill this man Arghhhhhhhhhhhhhhhhh did u just edit my post?...
I know very well Kaizer and that was my point exactly... blame the media...or blame the USA lolllllllll
kuzuia matiti yasianguke baada ya kunyonyesha.....????:confused2:
Mbona kuna wanawake wengine matiti yameanguka bila kunyonyesha/kuzaa..Mimi nimenyonyesha mtoto tena mwaka mzima,ziwa lilikuwa limesheheni maziwa haswaa ila sasa yamerudi kawaida yani hayajalala..Inatofautiana kati ya mtu na mtu bibie..
Mnyonyeshe mtoto apate afya bora..
yes I totally love that song......Unaupenda wimbo wa Melanie Fiona eeeh?
may be we have wrong information....but I guess too many kids will just make woman exhausted...Sagging of the breasts is caused more by genetic factors than breast feeding. I don't know why people hold on to this myth that when you breast feed the breasts will sag
Mkuu are you sure??? Watu wanaongelea uzoefu wao hapa! Labda useme kuna factors nyingine zinazochangia na si kunyonyesha pekee.Sagging of the breasts is caused more by genetic factors than breast feeding. I don't know why people hold on to this myth that when you breast feed the breasts will sag
may be we have wrong information....but I guess too many kids will just make woman exhausted...
Mkuu are you sure??? Watu wanaongelea uzoefu wao hapa! Labda useme kuna factors nyingine zinazochangia na si kunyonyesha pekee.
sawa kabisa.....mie nimenyonyesha watoto wawili na naendelea kunyonesha baba yao lakini hayajaanguka kivile, kulegea yatalegea kwa namna moja au nyingine....
Asanteni kwa mchango wenu...
Ingawa mmeniogopesha hamna solution zaidi ya boob job,mie kisu nakiogopa mweee...
may be few exceptional cases,ila wengi baada ya kunyonyesha nimeona maziwa yakianguka....
Hii ina athari ya moja kwa moja kny tendo la ndoa,utawasikia wababa wakilalamika baada ya watoto wa wawili...tendo la ndoa...kwishney...utafanyaje kama you dont feel atractive anymore jamani...???
na wengine utawasikia wakilalamika tangia azae mwanamke flani hajitunzi anymore,yeye kazi yake ni kuvaa vitenge tuuu...jamani hili suala ni vyema kama tutalitafutia ufumbuzi kwa sababu linatuathiri kisaikolojia,,,,mtu kama you dont feel good/atractive inside...it will show outside...mtu anaishia kuwa rafu sababu she feels the same way inside.....
and i dont know why do people associate breastfeeding and love for your child...ina maana wale waliochoose not to breast feed ni half mothers???are they not proud mothers...
fidel kama unayajua mambo mwaga hadharani utakuwa umesaidia wengi.....!
Great thinker!!! mutu ya kusoma between the lines!!Hongera kwa kujifungua salama.
Mtoto wa kiume au wa kike?
1.1.isikupe shida,acha yaanguke tu.kuzuia matiti yasianguke baada ya kunyonyesha.....????:confused2:
Sagging of the breasts is caused more by genetic factors than breast feeding. I don't know why people hold on to this myth that when you breast feed the breasts will sag
Na mimi ndio nataka ufafanuzi hapa.Hivi starehe nzima inayotokana na mahusiano ya mapenzi inaathiriwa vipi na size ya matiti au kuanguka na kusimama kwa matiti.Don't worry. Tendo la ndoa halina uhusiano wa moja kwa moja na maziwa kulala au la.
cjakuamni luv coz wakati mwingine na wewe ni mzee wa fix, mfanyie bac maarifa kama yupo hapo dar atibiwe hapo hapo, au dar hakuna hao wagogo au ni wale wa kienyeji?
Kama anaweza kunisafirisha mpaka Dom na kunirudisha nitampeleka akayasimamishe.