Nini kinaweza fanyika...???

Carmel kwani kanga ina tatizo gani mpendwa?

nlisoma mahali eti inayabana maziwa na kuyaminya kwa kwenda chini (cjui kama nitaeleweka?) hasa kama hujavaa bra

wanashauri binti alale kwa tumbo ili maziwa yasining'inie. ila kwa mom mm cjali sana. kuna umri utafika tu maziwa hayana nguvu tena
 
Hivi kina dada/mama zangu

Ni lini mtajiamini? Ni lini mtaamini kuwa kuanguka/kutoanguka kwa matiti ni maumbile, na from a man's perspective, that has got nothing to do na mapenzi yangu kwako? why do you want to eat your cake and have it?

Mi nilidhani la Muhimu ni kuwa thankful kuwa umepata mtoto walau (manake wengi hawapati bahati hiyo) kisha matiti sio kila kitu kwenye mwili wako...kuna miguu, kuna kucha, kuna ngozi, kuna ATM, sijui kuna unywele...(Mungu hawezi kukupa vyote)

Fab........:whip:
 
Am very proud of my self hata yaporomoke kama ndala wacha watoto wangu wanyonye maziwa kwa afya 2 years kila mmoja..
Na inategemea na maumbile ya mtu

Unajua yakianguka F1L??
norma-stiz-pic-splash-410771882.jpg

She can't walk down steps unaided, she can't sleep on her back and she can't fit into a normal plane seat.
But the woman with the biggest breasts in the world has vowed never to have them reduced.
This is the 10th year running that mum of two Norma Stitz – that's her stage name – has been in the Guinness Book of Records with her enormous Size 102ZZZ chest.

Norma cant walk down steps unaided

Her Cadillac wagon is one of the new cars where she can fit behind the wheel
 
Si kunyonyesha pekee, ni suala la muda/umri pia. So matiti naturally yataanguka tu, utake...usitake!

sawa kabisa.....mie nimenyonyesha watoto wawili na naendelea kunyonesha baba yao lakini hayajaanguka kivile, kulegea yatalegea kwa namna moja au nyingine....
 
sawa kabisa.....mie nimenyonyesha watoto wawili na naendelea kunyonesha baba yao lakini hayajaanguka kivile, kulegea yatalegea kwa namna moja au nyingine....

sawa kabisa Mrs..unajali maslahi yangu apo,.....
 
sawa kabisa.....mie nimenyonyesha watoto wawili na naendelea kunyonesha baba yao lakini hayajaanguka kivile, kulegea yatalegea kwa namna moja au nyingine....

hahaa deaarest na wewe kwa kusoma mind za wenzio sikuwezi!!!

SMU liposema unyonyeshe usinyonyeshe.....I though of kunyonyesha nani sasa watoto au baba!!??

anyway u got me!!!
 
Unajua yakianguka F1L??
norma-stiz-pic-splash-410771882.jpg

She can't walk down steps unaided, she can't sleep on her back and she can't fit into a normal plane seat.
But the woman with the biggest breasts in the world has vowed never to have them reduced.
This is the 10th year running that mum of two Norma Stitz – that's her stage name – has been in the Guinness Book of Records with her enormous Size 102ZZZ chest.

Norma cant walk down steps unaided

Her Cadillac wagon is one of the new cars where she can fit behind the wheel

mmmh
 
sawa kabisa Mrs..unajali maslahi yangu apo,.....

haaa mr yaani nikunyime haki yako kuhofia muanguko? lyfe lenyewe fupi hili! halafu mie ckuwahi kuwa na wazo eti labda nikinyonyesha kihivi wala vle litaanguka, yaani mie mtoto akilitaka hata kama nafanya shughuli zangu namtolea analivutaaa weeee atakavyo, khaa wacha bana mtoto nimemtoa mbali hili nyonyo litalitafutia jeki madhubiti.
 
Kama hamjuai semeni hamjui, sasa ukianza kusema hakuna solution uongo huoo
 
Unajua yakianguka F1L??
norma-stiz-pic-splash-410771882.jpg

She can’t walk down steps unaided, she can’t sleep on her back and she can’t fit into a normal plane seat.
But the woman with the biggest breasts in the world has vowed never to have them reduced.
This is the 10th year running that mum of two Norma Stitz – that’s her stage name – has been in the Guinness Book of Records with her enormous Size 102ZZZ chest.
http://javascript<b></b>:gallery_21385399.scrollPic(1);
Norma cant walk down steps unaided
http://javascript<b></b>:gallery_21385399.scrollPic(1);
Her Cadillac wagon is one of the new cars where she can fit behind the wheel

mmmh
 
sawa kabisa.....mie nimenyonyesha watoto wawili na naendelea kunyonesha baba yao lakini hayajaanguka kivile, kulegea yatalegea kwa namna moja au nyingine....

Mi nimesoma hapo tu. Uzuri nimekuelewa vizuri.
Hawa mabinti hawajui. Ukinyonyesha mtoto, afu ukanyonyesha baba maziwa huwa hayaanguki.
Watoto wanatoa presha ndani na baba anatoa presha nje. Ngoma droo.LOLZ!
 
hommie hapo umeshapita kwa mama muuza nini?
 
kuzuia matiti yasianguke baada ya kunyonyesha.....????:confused2:

jipende kama ulivyo jiamini huo ndio tunaita ushujaa, sassa yasipoanguka yatakusaidia nini we hujui kuwa kuna kuzeeka na kufa pia usisahau, ndio maana wahenga walinena kila jambo na wakati wake, yakiwa wima yana walati wake na yakianguka pia jua wakati umefika.
 
Back
Top Bottom