Nini kinawarudisha kwa MaX

Murete

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Posts
246
Reaction score
102
Habari zenu wapendwa wa MMU.

Kuna swala linanitatiza kuhusu kurudiana na X. Hii ni kwa wote

Hivii, inakuwaje mtu unamuacha mpenzi wako unaoa/olewa mtu mwingine halafu eti baada ya muda unarudi kwa X kuomba game. Huwa hamjisikii hata vibaya? Nini kinawasukuma kurudi mlipoacha? Na tena mkirudi mna story za kuhuzunisha kweli. Yaani ni majuto fulu! Ni kipi kinakushinda kuanza upya uhusiano na mtu mwingine mpaka urudi kwa X?
 
Ukikua na kuoa au kuolewa ukalala na kuamkaa na mtu miaka miwili mfululizo hautauliza tena maswali kama haya
Sawa mkuu... Tufungue na sisi tusio kwenye ndoa. Labda kuna mahali makosa yanafinyika tujifunze na sisi ili yasije kutukuta na kujutia
 
Ex ni kama wa dharura, unataka kubadili mlo, wala hamna kutongoza, unamwambia tu tukakumbushie ya zamani, tukutane pale pale kesho saa fulani.
 
Ex ni kama wa dharura, unataka kubadili mlo, wala hamna kutongoza, unamwambia tu tukakumbushie ya zamani, tukutane pale pale kesho saa fulani.
Okee! Kwani huwezi kuwa na kitu kipya mpaka urudie matapishi?
 

Eehee Bwana niepushie kikombe hiki.... Maana my heart is willing but my body is weak... Amen.. Binafsi I think ni tamaa ya mwili na kukosa misimamo... Thanks..
 
Okee! Kwani huwezi kuwa na kitu kipya mpaka urudie matapishi?
Murete;
Naona unatukana wengi. Kiporo si matapishi bro. Kila mlo una ladha yake, huwa narudi nyuma kujikumbushia tu na zaidi inakuwa tamu ka naye keshajipatia wake. Nyama ya wizi taaam sana tuu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…