Nini kinatokea usiku huu hapa dar?

Mpaka manzese tunasikia ila hatujui ni nini.
 
Kuna mtu anataka picha za sauti za hayo mabomu ili kunogesha habari
 
Konkii konkii konkii master.. eti nae yuko dar..uyu jamaa anafaa awe mkoani bhana,aendani nao kabisa
 
Bado yanaendelea kulia tu wengine tulijua mabomu kumbe Diwali.
 
Uoga umekushika mpaka unatetemeka mikono, tuliza uoga kisha uandike vizuri. Mwanaume mzima unakua lioga, empty set kabisa.
 
Daaah watu bhana kelele kwisha wameona hii post itakua
Usiku mwema
 

Wengine hadi hivi sasa tumeweka ' Headphones ' katika masikio yetu na hatujasikia lolote je unaweza ukatiririka na kuserereka zaidi Mkuu utuambie Kiundani zaidi?
 
Ebwana mimi mwenyewe nipo tabata kisukuru hali ni hivyo hivyo tangu saa tatu mpaka sasa sijui ni kitu gani hicho
 
Ni kweli aisee mm nipo tabata kisukuru hizi mambo sijui zinatokea wapi cz zimeanza mda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…