Nini kinatokea usiku huu hapa dar?

Nini kinatokea usiku huu hapa dar?

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
2,947
Reaction score
2,032
Nasikia sauti tu ya milipuko na sauti inatokea kama kati kati ya jiji ila sielewi ni yanini mwenye kujua anijuze
 
Wakuu kwema, kuna milio mizito mizito naisikia maeneo ya kariakoo au posta kutokea hapa Ilala mwenye taarifa au aliye maeneo hayo pls tujuze nini kinaendelea
 
Kuwa na Amani Mkuu, ni sikukuu ya wahindi hiyo. Nimepita mchana kulikuwa kumepambwa vibaya sana.
Asante kwa info,unajua tena mambo ya gombs enzi zile yananifanya at a nikiguswa na jani niwe kama MTU alowah kuumwa na nyoka
 
Mnakuwa kama wageni mjini

Kila november 7 wahindi wanasherekea diwali day duniani kote huwa wanaomba vibali na kurusha mafataki kama dakika 20 hivi ...upanga ndio sehemu zao


Nilivyoona uzi huu nikaenda google kutype diwali day nikaona ni 7 november ..nishazoea mie nikisikia kuna milipuko mjini usiku basi ni sherehe ya diwali
 
Ni Happy Diwali leo... Kuukaribisha Mwaka mpya wa Hindu yaani mabaniani ni kila Mwaka hivi watu ni wasahaulifu au vepe?
 
Hili swali huwa alichokwi kuulizwa humu ndani kila ifikapo siku kama ya leo. Kwani huwa hamtunzi kumbukumbu???
 
Mjini wapi??
Au ndiyo unadhani kila mtu yupo mkoa uliopo??
Kuna miji ni imepewa tu sifa ya kuwa miji,ila nimesema kati kati ya jiji nadhani nimeeleweka nazungumzia wapi,ni huku ambapo konki konki oil chafu anazungumziwa kila kona wiki hii
 
Back
Top Bottom