Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
unarobo mbaya sio vzuriii uko[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Yani mi kwakweli hata mjomba ntakuita!!ili mradi ubaki kwenye "friend zone"
unarobo mbaya sio vzuriii uko[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Yani mi kwakweli hata mjomba ntakuita!!ili mradi ubaki kwenye "friend zone"
Kuna wakati wanabadilika wenyewe anaanza na shkamoo anahamia mambo mwisho wa siku......We si bora unaitwa tu,m kuna mmoja ananisalimia kabsaa shikamoo kk then ukiangalia ni MTT pin ile ile yani najikutaga tu naishiwa hadi poz kuitikia nashindwa kunyamaza nashindwa
Imenikuta hiyo mkuu though mimi nshamaliza shule kitambo kidogo........sema najitahidi kupambana..sitaki kufanya ulaghai...nataka ajae akiwa na akili yake yote.......Sema wewe usiogope kuitwa kaka....kadri siku zilikuwa zinaenda niliipotezea taratibu......NAELEKEA KUZURI KWA KWELI.....WE PAMBANA NA HALI YAKO TU
we bado kupewa shikamoo tu mkuu
Huyo kashakubali we endeleaa later on atakwitaa crush usjalii[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]Embu nipe namba yake nikurahisishie kazi.
Pale nitakapoambiw "nilkua nakuheshim kam kak" itabid nije unipe ushaur tena nijibu nn coz ww nd unanip moyo wa kufunguka…!!Huyo kashakubali we endeleaa later on atakwitaa crush usjalii[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]