Wakuu habari za muda huu,
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,
Ni hivi hapa chuoni ninaposoma kuna msichana fulani ni mwaka wa kwanza mimi niko mbele yake kidogo nilijenga nae urafiki nikamuomba namba lengo likiwa ni kumtongoza, lakini kilichotokea ni kama alinipiga counter attack coz siku ya kwanza tu kabla sijarusha ndoano akaanza kuniita kaka, sasa hapo ndio nikaishiwa pozi jinsi ya kuibadilisha hiyo kaka.
Kwa wazoefu na mambo haya naombeni msaada nifanyeje ili nikimtongoza asije kuanzisha stori za mara ooh sijui nilikuheshimu kama kaka yangu coz msichana nimetokea kumuelewa kiukweli.
Msaada tafadhali kama ishawai kukutokea.
Je ulifanyaje? Au mimi nifanye nini ili anielewe.
Nakaribisha mawazo na ushauri!
duh. ...swali lako limenichekesha sana sijui kwaniniKwa hyo na wewe uko chuo sio?
Oowkey asante kwa ushaur ,,,ngoja na mim nipamban nionImenikuta hiyo mkuu though mimi nshamaliza shule kitambo kidogo........sema najitahidi kupambana..sitaki kufanya ulaghai...nataka ajae akiwa na akili yake yote.......Sema wewe usiogope kuitwa kaka....kadri siku zilikuwa zinaenda niliipotezea taratibu......NAELEKEA KUZURI KWA KWELI.....WE PAMBANA NA HALI YAKO TU
Huwa tunaona mbali ndo maana tunawaita kaka mapemaaa...ni defense mechanism(tunajihami mapema)ili msitutongoze.hilo tu.Wakuu habari za muda huu,
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,
Ni hivi hapa chuoni ninaposoma kuna msichana fulani ni mwaka wa kwanza mimi niko mbele yake kidogo nilijenga nae urafiki nikamuomba namba lengo likiwa ni kumtongoza, lakini kilichotokea ni kama alinipiga counter attack coz siku ya kwanza tu kabla sijarusha ndoano akaanza kuniita kaka, sasa hapo ndio nikaishiwa pozi jinsi ya kuibadilisha hiyo kaka.
Kwa wazoefu na mambo haya naombeni msaada nifanyeje ili nikimtongoza asije kuanzisha stori za mara ooh sijui nilikuheshimu kama kaka yangu coz msichana nimetokea kumuelewa kiukweli.
Msaada tafadhali kama ishawai kukutokea.
Je ulifanyaje? Au mimi nifanye nini ili anielewe.
Nakaribisha mawazo na ushauri!
You have given him the best secret of being called Kaka. MKUU ifanyie kazi hii usipuuze.The girl anakupa heshima ya kaka kutokana na Ww ulivyojipresent kwake maraya kwanza cuz mi Kama mwanamke I can read the intetions of a man Kama yuko interested or not,so Kama Ww ulienda na gia ya kikaka uki expect ndo njia rahisi ya kuwa close nae imebuma.
Two,the girl labda hayuko interested na ww.Kwakweli mi siwezi kumwita mwanaume kaka unless nione dalili zote za ukaka rlshp au aniite dada...asa Kama kakuita kaka mwanzoni jua hakutaki kimapenzi at all na hajali Kama umemsoma au bado hujamsoma yy message sent and delivered kwaiyo tafuta tu plan B.
Au labda anataka aku fastruate tu..Anataka umind Kwann kakuita kaka..af apo ndo atafurah akijua kumbe anatakwa kimapenzi.
Soo counterattack yako ikonconsider Ni reason IPI haswa ilimfanya akuite kaka at the first place.best of luck[emoji4]
Umeenda kusoma kutafuta wadada soma muda ukifika oa tusipotezeane malengoAkikuita kaka mwambie mbona unanizeesha alaf weka sura ya mbuzi......
Kaza mpk ilo jina la kaka lipotee alaf apo ndo uwanze kutupia samjo maana bila ivyo kupata mbunye ni ngumu joh alaf madem kama hawo wanakuwaga seriouse na masomo church ndo usiseme