S Sharp lady Senior Member Feb 23, 2011 129 13 Jun 10, 2011 #1 Hi wadau. Naomba msaada tafadhali. Kwa yeyote anayejua sababu zinazopelekea spotting bleeding hasa kazi siku za mensturation zenyewe naomba anieleze.
Hi wadau. Naomba msaada tafadhali. Kwa yeyote anayejua sababu zinazopelekea spotting bleeding hasa kazi siku za mensturation zenyewe naomba anieleze.
Mr Kiroboto JF-Expert Member May 3, 2008 350 87 Jun 10, 2011 #2 Sharp lady said: Hi wadau. Naomba msaada tafadhali. Kwa yeyote anayejua sababu zinazopelekea spotting bleeding hasa kazi siku za mensturation zenyewe naomba anieleze. Click to expand... Mimi sijakuelewa unauliza kuhusu nini? unaweza kuuliza swali lako kwa kiingereza samahani kama nitakuwa nimekukwaza,pia waweza pata majibu kutoka kwa wale waliolewa swali lako
Sharp lady said: Hi wadau. Naomba msaada tafadhali. Kwa yeyote anayejua sababu zinazopelekea spotting bleeding hasa kazi siku za mensturation zenyewe naomba anieleze. Click to expand... Mimi sijakuelewa unauliza kuhusu nini? unaweza kuuliza swali lako kwa kiingereza samahani kama nitakuwa nimekukwaza,pia waweza pata majibu kutoka kwa wale waliolewa swali lako
S Sharp lady Senior Member Feb 23, 2011 129 13 Jun 10, 2011 Thread starter #3 Mr Kiroboto said: Mimi sijakuelewa unauliza kuhusu nini? unaweza kuuliza swali lako kwa kiingereza samahani kama nitakuwa nimekukwaza,pia waweza pata majibu kutoka kwa wale waliolewa swali lako Click to expand... Mr kiboroto! I meant.I did not got my normal mensturation period as i used too instead i got very little bleeding. I hope you understand what i meant.
Mr Kiroboto said: Mimi sijakuelewa unauliza kuhusu nini? unaweza kuuliza swali lako kwa kiingereza samahani kama nitakuwa nimekukwaza,pia waweza pata majibu kutoka kwa wale waliolewa swali lako Click to expand... Mr kiboroto! I meant.I did not got my normal mensturation period as i used too instead i got very little bleeding. I hope you understand what i meant.
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,608 52,339 Jun 13, 2011 #4 Wahi kwa mabingwa wa akina mama.