Nini kinambadilisha Mwigulu Nchemba?

Nini kinambadilisha Mwigulu Nchemba?

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
WanaJF nimemfuatilia Mwigulu toka aingie wizara ya fedha hadi kwenye mjadala wa Katiba naona matamko na misimamo yake imekuwa positive yenye kujenga na ya kisomi zaidi kuliko uhafidhina aliokuwa nao awali hivi ni nini kimembadilisha?Kwa Mfano nimemsikia kwenye Bajeti 2014/15 akiwabana Matajiri bila woga kwenye kodi na kwenye Bunge la Katiba nimemsikia akipinga Wabunge waliotaka kupandishiwa posho na sasa anapinga suala la Bunge la Katiba kwenda kuteketeza hela za wananchi bila maridhiano ili kupata theluthi mbili,Nini kimembadilisha Mwigulu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nani amekuambia mwigulu mchemba kabadilika? Hayo ni maigizo ya sanaa...haya kachukuwe buku 7 uishi...
 
amegundua yeye ndie mwanasiasa alie jenga sana chuki hapa nchini, na pia amejuwa kuwa yeye ndie mwanasiasa asie pendwa kuliko wote hapa nchini.
 
WanaJF nimemfuatilia Mwigulu toka aingie wizara ya fedha hadi kwenye mjadala wa Katiba naona matamko na misimamo yake imekuwa positive yenye kujenga na ya kisomi zaidi kuliko uhafidhina aliokuwa nao awali hivi ni nini kimembadilisha?Kwa Mfano nimemsikia kwenye Bajeti 2014/15 akiwabana Matajiri bila woga kwenye kodi na kwenye Bunge la Katiba nimemsikia akipinga Wabunge waliotaka kupandishiwa posho na sasa anapinga suala la Bunge la Katiba kwenda kuteketeza hela za wananchi bila maridhiano ili kupata theluthi mbili,Nini kimembadilisha Mwigulu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Movies na usanii tu wa Magamba. Wote Wana tabia za Panya, udokozi ni ule ule, ni masaa tu yanabadilia, silika ni ile ile. Mwigulu analalamikia matumizi mabaya ya ruzuku na Kodi wakati yeye na Waziri Maselle na genge la wanunua madiwani wanagawa mamilioni ya Fedha za hongo kama sio mabilioni, bila kuhofia ufukara unaozagaa nchini? Si uchungu ungeanzia na wao kuzuia RUSHWA ambayo anaitoa wazi wazi kwa wale walengwa, wapinzani wa CCM anaodhani ni mafukara wanaonunulika? Tumfikirie mara 2 huyu jamaa KABLA ya kumsifia kwa lo lote.
 
kuna mtu nyuma yake , hata hivyo ni mwanasiasa anayeongoza kwa KUCHUKIWA nchi nzima , kwa vile mambo yake yote maovu yamejulikana .
 
amejistukia baada y kuona uchaguz 2015 umekaribia ! na kuna hofu y kukosa ubunge term ijayo
 
kuna mtu nyuma yake , hata hivyo ni mwanasiasa anayeongoza kwa KUCHUKIWA nchi nzima , kwa vile mambo yake yote maovu yamejulikana .
Ni kweli mkuu siasa za Mwigulu ni za kutumia nguvu kama Makirikiri na propaganda chafu za kigaidi ndo maana anachukiwa na wengi. Jana katengeneza mchezo wa kuigiza na kijana mmoja uwanja wa Taifa aonekane anapendwa kwa kuruka ukuta na kumdaka mwigulu eti ndo tumaini la watanzania hata kwa urais. Full comedy
 
Mwigulu hajawahi kubadilika Mkuu... Huyu ni yule yule Gaidi mtekelezaji wa sera za utekaji na kung'oa kucha na macho... Strategies zake za sasa zinatokana na ukweli kuwa kila mmoja ndani ya CCM anajiona kuwa anaweza kuwa Rais ili hatimae waendelee kuvumbua kama Vasco Da Gama II ... Ukiona kimya sana basi ujue Shonza kafanikiwa kwa kiasi Fulani ...
WanaJF nimemfuatilia Mwigulu toka aingie wizara ya fedha hadi kwenye mjadala wa Katiba naona matamko na misimamo yake imekuwa positive yenye kujenga na ya kisomi zaidi kuliko uhafidhina aliokuwa nao awali hivi ni nini kimembadilisha?Kwa Mfano nimemsikia kwenye Bajeti 2014/15 akiwabana Matajiri bila woga kwenye kodi na kwenye Bunge la Katiba nimemsikia akipinga Wabunge waliotaka kupandishiwa posho na sasa anapinga suala la Bunge la Katiba kwenda kuteketeza hela za wananchi bila maridhiano ili kupata theluthi mbili,Nini kimembadilisha Mwigulu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Anachukiwa kama lichama alilopo CCM, kwa hiyo kila mtu anajua kwa pango la apanya, hakujawahi kutokea Panya mwema hata siku MOJA. Kuna watu wanaumizwa sana na utawala wa ccm na dhuluma zake zikifuatiwa na utawala mbovu. Kuna jamaa aliniambia wazi wazi kuwa akiona RANGI ya ccm anaamini ni wezi tu wanaohitajika magerezani, alisema huwa anatamani kuhara na kutapika akiisikia CCM ikitajwa kwa lo lote.. . Mtu kama huyo nahisi ukimweka kichakani peke yake na mtu wa ccm bila shuhuda, kifuatacho chaweza kuwa matangazo ya tanzia....!
 
Mwachenii, nihulka yakutaka kujisafisha. Alafu pia ni mtu alie kua anatamani nafasi kama hiyo alio ipata.

Mbwa mwenye njaa hukulupuka akiskia tu sauti ya mluzi anahisi bosi wake anamuita, ila akishiba hadi umuite jina.
 
mwachenii, nihulka yakutaka kujisafisha. Alafu pia ni mtu alie kua anatamani nafasi kama hiyo alio ipata.

Mbwa mwenye njaa hukulupuka akiskia tu sauti ya mluzi anahisi bosi wake anamuita, ila akishiba hadi umuite jina.

kunakitu nimekielewa sana kupitia huu mchango wako.
 
Ila kwa mwigulu kujisafisha madhambi yake yote aliyoyatenda bado kuna safari ndefu sana!
Na hasa nikimkumbuka dk.mv*ungi,mau*aji ya soweto arusha mmh,nakosa imani nae kabisa!
 
anachukiwa kama lichama alilopo ccm, kwa hiyo kila mtu anajua kwa pango la apanya, hakujawahi kutokea panya mwema hata siku moja. Kuna watu wanaumizwa sana na utawala wa ccm na dhuluma zake zikifuatiwa na utawala mbovu. Kuna jamaa aliniambia wazi wazi kuwa akiona rangi ya ccm anaamini ni wezi tu wanaohitajika magerezani, alisema huwa anatamani kuhara na kutapika akiisikia ccm ikitajwa kwa lo lote.. . Mtu kama huyo nahisi ukimweka kichakani peke yake na mtu wa ccm bila shuhuda, kifuatacho chaweza kuwa matangazo ya tanzia....!

naamini kuna skendo linakuja kumlipukia huyu mwingulu, hivyo anajaribu kupata huruma ya jamii mapema ili hata hilo skendo likija kulipuka watu waseme amebambikiwa na wabaya wake kutokana na utendaji kazi bora alio nao!.
Hovyoooo kabisa hii kiumbe!
 
una akili sana kamanda .
 
Anafanya Siasa..., kwahio anasema kile na kufanya kile anachoona watu wanataka kukisikia hususan ukizingatia uchaguzi umekaribia...
 
amegundua yeye ndie mwanasiasa alie jenga sana chuki hapa nchini, na pia amejuwa kuwa yeye ndie mwanasiasa asie pendwa kuliko wote hapa nchini.

Umeongea ukweli sana. Umefanya nikose cha kuchangia. Big up!
Ova.
 
Kama si mnafiki ajiondoe mara moja kwenye bunge la katiba, vinginevyo ni walewale!
 
Back
Top Bottom