Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Nini kinakukata 'steam' na nini kinaziongeza?

Kuna mtu nipo nae hapa kasoma comment yako kasema et huna hela😅😅🙌
Nilikuwa sijui kama sina hela 🤣 🤣 🤣 Hivi ni sawa kweli unamwandaa mtu umlombe yeye anaanza kukuomba hela. Kuna namna na wakati mzuri wa kuomba hela ila sio wakati wa kujamiiana.
 
Nilikuwa sijui kama sina hela 🤣 🤣 🤣 Hivi ni sawa kweli unamwandaa mtu umlombe yeye anaanza kukuomba hela.
sio sahihi kabisa
Wengine ikiachilia mbali mda wa jigijigi kuomba kawaida pia hatuwezi
Mwanaume kama huwezi kutoa hela mpka uombwe mi hatuwezani
Kuna namna na wakati mzuri wa kuomba hela ila sio wakati wa kujamiiana.
Exactly
 
A82E4358-6A0F-47E7-9F37-0E66798ACAF4.jpeg
 
Back
Top Bottom