Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,714
Wakuu, habari.
Kuna mtu amenialika Canada, yeye ni mwenyeji wa huko. Sasa, naomba kufahamishwa requirements zipi nahitajika kuwa nazo ili kupata visa ya Canada.
Thanks, karibuni.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Rahisi eti...Mkuu kwanini usitafte visa ya Australia, Japan na New zea land hizi ni rahisi Sana Kupata, na Maisha yako powa
Mkuu kwanini usitafte visa ya Australia, Japan na New zea land hizi ni rahisi Sana Kupata, na Maisha yako powa
Mkuu kwanini usitafte visa ya Australia, Japan na New zea land hizi ni rahisi Sana Kupata, na Maisha yako powa
Una hati ya kusafiria kwenda nje ya tanzania? Hati kubwa na si ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
PASSPORT.
INVITATION LETTER.
BACK STATEMENT (SHOW MONEY) .
DOCUMENT YA UTHIBITISHO KUWA YOU ARE VISITING SOMEONE NA HAUTO OVERSTAY..
.....
....
.....
Unataka kwenda wapi Mkuu,wakati tushakuwa Tanzania ya Viwanda.
Document gani hiyo yakuonyesha kuwa hauto overstay..PASSPORT.
INVITATION LETTER.
BACK STATEMENT (SHOW MONEY) .
DOCUMENT YA UTHIBITISHO KUWA YOU ARE VISITING SOMEONE NA HAUTO OVERSTAY..
.....
....
.....
Mkuu kwanini usitafte visa ya Australia, Japan na New zea land hizi ni rahisi Sana Kupata, na Maisha yako powa
Mkuu mim mwezi ulioisha nlikuja na uzi wa visa ya sweden na baadhi ya wadau walinisaidia kufanikisha hiloo .maana mpaka sasa niko hapa Sverige na enjoy ustaarabu wa wazungu kipindi hiki cha winter...kwa kifupi mkuu jitahidi uwe navitu vifuatavyoo..barua ya mualiko,, passport,,uwe na travel medical insurance sina uhakika kwa canada ingawa ni muhimu sana,cheti cha kuzaliwa, kopi ya passport ya aliekualika,bank statement ya mwenyeji wako pamoja na barua za waajiri wake kuthibitisha ajira yake , invitation form iliyojazwa na mwenyej wako kama ataweza aka i certifie kwa wanasheria huko..pia muhimu ni ku prove kwamba utarudi Tanzania ya kiwanda ya mtukufu jiwe kuja kuendelea ku enjoy flyover ya mfugale na hapa vitu vifutavyoo vinaweza kukufanya utembee kifua mbele ndani ya toronto...cheti cha ndoa ukiwa nacho kitakuboost sana,leseni ya biashara kama huna kazi,bank statement yako,au hata admissions letter kama unataraj jngia chuo,,au hata kama kwenu mnanyumba na unawapangaji rental agreement s zilizosainiwa na advocate itasaidia so gooooooood lucky mkuuuuu na wasalimu hapo ubalozi wa Canada'sWakuu, habari.
Kuna mtu amenialika Canada, yeye ni mwenyeji wa huko. Sasa, naomba kufahamishwa requirements zipi nahitajika kuwa nazo ili kupata visa ya Canada.
Thanks, karibuni.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkataba wa ajira na aina za Documents kama hizo....Document gani hiyo yakuonyesha kuwa hauto overstay..
Habar mkuuWakuu, habari.
Kuna mtu amenialika Canada, yeye ni mwenyeji wa huko. Sasa, naomba kufahamishwa requirements zipi nahitajika kuwa nazo ili kupata visa ya Canada.
Thanks, karibuni.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Vp issue ya kufanya medical check up na finger prints hpo wizara ya mambo ya ndaniHabar mkuu
Kweny visa canada kitu cha kwanza kuzingatia kukusaidia kupata visa ni kuonesha (ties to home country) je una nini kitakufanya urudi una familia, una biashara ,una assets gani ? Hvyo vyote inakua proved na documents as visa ya canada haina interview kama USA so unatakiwa uprove kila kitu kaa documents as utafikia wapi mwenywe wako kule yupo legally anafanya kaz gani ?analipa kodi? Ana uwezo wa kukuaccomodate?
Ww hapa unafanya kazi gani km biashara uoneshe leseni
Kama umeajiriwa barua ya mwajir lazma
Nan afasimamia safar yako?
bank statement kuonesha una kiasi cha fedha?
Na vithibitosho vingne ving
Ila uisahau kumuomba Mungu pia maana visa ina mambo meng
Kwa msaada zaid juu ya mchakato wa kupata visa ya canada au USA ni PM
Medical check up labda kama ni mwanafunz ila kwa tourist sio lazma cha msingi uwe na kitab cha yellow fever kwajil ya kupita airportVp issue ya kufanya medical check up na finger prints hpo wizara ya mambo ya ndani
Hzo doc si watazihitaji pia
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwanini usitafte visa ya Australia, Japan na New zea land hizi ni rahisi Sana Kupata, na Maisha yako powa