Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,735
- Thread starter
- #21
Habar mkuu
Kweny visa canada kitu cha kwanza kuzingatia kukusaidia kupata visa ni kuonesha (ties to home country) je una nini kitakufanya urudi una familia, una biashara ,una assets gani ? Hvyo vyote inakua proved na documents as visa ya canada haina interview kama USA so unatakiwa uprove kila kitu kaa documents as utafikia wapi mwenywe wako kule yupo legally anafanya kaz gani ?analipa kodi? Ana uwezo wa kukuaccomodate?
Ww hapa unafanya kazi gani km biashara uoneshe leseni
Kama umeajiriwa barua ya mwajir lazma
Nan afasimamia safar yako?
bank statement kuonesha una kiasi cha fedha?
Na vithibitosho vingne ving
Ila uisahau kumuomba Mungu pia maana visa ina mambo meng
Kwa msaada zaid juu ya mchakato wa kupata visa ya canada au USA ni PM
Yeye kaniambia ata accommodate kila kitu , baada ya mm kufika kule, je kuna haja ya kuwa na bank statement??
Sent from my iPhone using JamiiForums