Inakuwaje hapoInategemea,Mi nilijifungua kwa operation kutokana na PLACENTA PREVIA
No 3 hyo haswa ndio tatizo kubwaInategemea mwananke na mwananke au ntu na ntu ila sababu kuu ni hizi
1.Mtoto mkubwa kuliko size ya njia
2.Kuna baadhi hawataki kutanua njia wanaogopa itakua sio still picha na mnato
3.Wanaogopa kusemwa maana wengine chamber aka mtaro washazibuliwa
4.Uoga wa maumivu ya kujifungua(Kuzaa kwa uchungu)