The End..
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 4,362
- 3,846
kwan unavyojiona wewe ni weak au strong..!!!!Why?
Mwenzako najaribu kupata jibu pia
kwan unavyojiona wewe ni weak au strong..!!!!Why?
Mwenzako najaribu kupata jibu pia
Kati yenu kuna ambaye ni weak na mwingine strong?
Kama ni hivyo basi jibu la thread yako ni kweliNdio
Kote kote nipoWewe upo kundi gani ? ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sipati pichakuna jiran hapa wamekutana baba msukuma na mama mzaramo sasa ikifika saa 2 usiku utasema sio mtu na mkewe wanavyobishana... mpaka saa 5 usiku nyie laleni wao kazi moja!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kote kote nipo
Sa zingine weak,sa zingine strong
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu sipati picha
[emoji4] [emoji4][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan ww unafit kote hahaha ntakutafta mkuu[emoji4] [emoji4]
Nitakutafuta back [emoji6]Yaan ww unafit kote hahaha ntakutafta mkuu
[emoji592] ipo njiani kukubebaNitakutafuta back [emoji6]
Yani we toa Pesa mahusiano yatadumu Hata kama unamuuzi mpenzi wako,yani toa noti tu
Sio kwenye mahusiano tu hata kwenye maisha ya kawaida mkiwa wawili tu lazima mmoja awe kiongozi iwe kwenye mishe au wapi mmoja awe mjanja na mwingine akubali kuwa boya ili mambo yaendeHivi ni kweli kwamba strong man lazima apate weak woman ili mausiano yadumu , Hivyo hivyo kwa wanawake lazima apate weak man ili mausiano yadumu ?