Nifah hebu tuletee ubuyu huku 😁Toka wiki iliyopita naona Mwanadada Munalove aliyekuwa mke wa Peter komu sijui makomu (anayemjua atanisahihisha) analeta maombi Instagram Mungu ampitishe kwenye kikombe anachokunywa saivi, anaomba sana Mungu amponye mtoto wake, kuna nini?
Je? Hivi kwa akili ya kawaida mtu anapitia magumu ya kuuguliwa mtoto maombi yake na Mungu anayapeleka social media au Mungu ana account kule? Au ni madrama kama yaleyale walimwengu walisema amemtoa mwanaye kafara na hii pia anataka kutufanya walimwengu tuamini anaomba Mungu yasitokee yaliyotokea kumbe master ni yeye mwenyewe (anakula tumbo lake?)
Wajuzi mkuje huku
Evelyn Salt
Kasie
Mshangazi dot com
Mahondaw
Jifunze kupita hiv muda mwingineToka wiki iliyopita naona Mwanadada Munalove aliyekuwa mke wa Peter komu sijui makomu (anayemjua atanisahihisha) analeta maombi Instagram Mungu ampitishe kwenye kikombe anachokunywa saivi, anaomba sana Mungu amponye mtoto wake, kuna nini?
Je? Hivi kwa akili ya kawaida mtu anapitia magumu ya kuuguliwa mtoto maombi yake na Mungu anayapeleka social media au Mungu ana account kule? Au ni madrama kama yaleyale walimwengu walisema amemtoa mwanaye kafara na hii pia anataka kutufanya walimwengu tuamini anaomba Mungu yasitokee yaliyotokea kumbe master ni yeye mwenyewe (anakula tumbo lake?)
Wajuzi mkuje huku
Evelyn Salt
Kasie
Mshangazi dot com
Mahondaw
Aisee, huyu ni shetani, hafai.. anakutoa uhai hata kwa shilingi moja...walimwengu walisema amemtoa mwanaye kafara na master ni yeye mwenyewe (anakula tumbo lake?
Kwanza aliolewa na nan nan sijui, baadaye akawa na urafiki na wema sepetu, baadaye akawa mpenzi wa casto dickson yule mtangazaji sijui wa kituo gani, Munalove akafiwaga mtoto aliyekuwa naye aliitwa Patrick ndo story zikaanziaga hapo mara mwili kugombaniwa baba anataka mwanaye azike ila muna kakatalia mtoto anasema ni wa Dickson mpenzi wake. Yule baba akatoa hadi kadi za clinic na ubatizo wa mtoto hadi na picha😀😀 ule msiba ulikuwa kiboko, kwanza mwili watu wanasubiri pale JNIA wapokee kumbe ushafika zamaani ukapitishwa ulikopitishwa uko mbezi, huku baba mtoto kaweka msiba nyumbani kwake nafikiri ilikuwa sjui mwananyamala ili amzike mwanaye huku Muna hataki. Nlimfikiria huyo dada ila sio kwa kuhukumu ila dada alipata nguvu ya kucheza hiyo movie ya msiba wa mwanaye.Aisee, mimi sijui huyo Muna Love ni nani. Naomba background kwanza!
Nlijiuliza kama mama aliyefiwa na mwanaye alipata wapi nguvu ya kucheza yoote hayo kwenye msiba? Mara akatalie mwili wa mtoto, mara amfiche asijulikane amefika sa ngapi, dah yule mtoto alienda akiwa amechoka sana....katoto alikuwa kazuri hakajui hili wala lile ila alipata misukosuko kwenye msiba wake hadi hurumaHuyu mdada simielewi.
Namkumbuka sana kwa issue ya mwanae Patrick.
Aise kajichonga hadi aibu.
Sasa yamekuja ya mtoto huyu mdogo, mmmh nawaza kuwa kafara huwa siyo once huenda ikamtesa mwisho ikamla yeye.
Anyways, Get well the soonest mujukuu.
Hivi kwanini alikataa baba asimzike jamani, kifo cha yule mtoto kilitia simanzi sana masikini....Kwanza aliolewa na nan nan sijui, baadaye akawa na urafiki na wema sepetu, baadaye akawa mpenzi wa casto dickson yule mtangazaji sijui wa kituo gani, Munalove akafiwaga mtoto aliyekuwa naye aliitwa Patrick ndo story zikaanziaga hapo mara mwili kugombaniwa baba anataka mwanaye azike ila muna kakatalia mtoto anasema ni wa Dickson mpenzi wake. Yule baba akatoa hadi kadi za clinic na ubatizo wa mtoto hadi na picha😀😀 ule msiba ulikuwa kiboko, kwanza mwili watu wanasubiri pale JNIA wapokee kumbe ushafika zamaani ukapitishwa ulikopitishwa uko mbezi, huku baba mtoto kaweka msiba nyumbani kwake nafikiri ilikuwa sjui mwananyamala ili amzike mwanaye huku Muna hataki. Nlimfikiria huyo dada ila sio kwa kuhukumu ila dada alipata nguvu ya kucheza hiyo movie ya msiba wa mwanaye.
Miaka 2 iliyopita akachonga shape uturuki
We ndo upite hivi braza, jukwaa la mastaa hiliJifunze kupita hiv muda mwingine
Aahhh weee mtoto yuko kwenye critical condition unapata wapi muda wa kwenda insta kumuita Mungu? Mungu anapatikana social media? Unamwandikia msg MunguNi sawa tu, kama ana watu wake mitandaoni ambao anaona wanaweza kumsaidia kwenye dual binafsi sioni shida...(japo mimi simjui huyo unayemsemea)
Naomba utuogopeshe na sisi 😁Kuna mtu alinipa story moja hv nikaogopa
Alafu mtoto alikuwa wa ndani ya ndoa maana yule baba alitoa hadi cheti cha ndoa mtoto alizaliwa ndani ya ndoa dah yule mtoto basi bana Apumzike tu kwa amani ila hata kama.....mama yake alikuwa na siriHivi kwanini alikataa baba asimzike jamani, kifo cha yule mtoto kilitia simanzi sana masikini....
Sasa bab wa kipewa patrick komando kipensi, alibeba msiba? Alimzika?